-
Mwaka wa tisa wa kuasisiwa Hashd al Shaabi, sisitizo la viongozi wa Iraq la kuimarishwa harakati hiyo ya ukombozi
Jun 17, 2023 04:46Rais Abdul Latif Rashid wa Iraq pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mohammed Shayya’ Sabbar al-Sudani wametuma ujumbe mbalimbali kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa tisa wa kuasisiwa harakati ya ukombozi ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la Hashd al Shaabi na wametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi harakati hiyo.
-
Ansarullah Yemen yasema iko tayari kusaidia taifa na muqawama wa Palestina
Jun 17, 2023 04:00Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametangaza utayarifu wa Sana'a kulisaidia taifa na mapambano ya ukombozi wa Palestina katika kikao chake na mwakilishi wa harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina.
-
Mamlaka ya Palestina: Jamii ya kimataifa ni mshirika katika jinai za Israel
Jun 16, 2023 23:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema kuwa jamii ya kimataifa ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na kunyamaza kimya mbele ya jinai zinazofanywa na utawala huo ghasibu.
-
Nabih Berri: Mazungumzo ndio njia pekee ya kuiondoa Lebanon kwenye mkwamo wa kumchagua Rais
Jun 16, 2023 22:49Nabih Berri Spika wa Bunge la Lebanon amesema kuwa, mazungumzo ndio njia pekee ya kuikwamua nchi hiyo na suala la kumchagua Rais.
-
Ungamo la Amnesty International: Utawala wa Israel ulifanya jinai ya kivita dhidi ya watu wa Ghaza
Jun 15, 2023 09:10Ripoti iliyotolewa na Amnesty International imesema kuwa wanajeshi wa Israel walifanya uhalifu wa kivita dhidi ya Wapalestina katika mashambulizi yao dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza mwezi uliopita wa Mei, 2023.
-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuwakamata vijana wa Bahrain
Jun 15, 2023 08:17Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kuwakamata kiholela vijana wa kiume na kike wa nchi hiyo katika maeneo tofauti ya nchi kwa sababu za kisiasa.
-
Wazayuni waushambulia tena Msikiti wa al-Aqsa
Jun 15, 2023 08:01Askari wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni wameshambulia tena Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.
-
Amnesty: Hujuma za Israel dhidi ya Gaza yumkini ni jinai za kivita
Jun 15, 2023 03:05Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema huenda Israel ilifanya jinai za kivita katika mashambulizi ya anga ya utawala huo haramu wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza mwezi uliopita wa Mei.
-
Bunge la Lebanon lashindwa tena kumchagua Rais mpya
Jun 14, 2023 23:20Bunge la Lebanon hapo jana lilishindwa tena kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo kwa mara ya 12; na kupelekea mkwamo wa kumchagua kiongozi wa juu zaidi nchini humo kuendelea kushuhudiwa.
-
Hizbullah: Makubaliano ya Iran na Saudia yamesambaratisha njama za Marekani
Jun 14, 2023 08:30Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, makubaliano ya Iran na Saudi Arabia ya kuhuisha uhuusiano wao wa kidiplomasia yamesambaratisha njama na mipango michafu ya Marekani.