-
HAMAS yalaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni Quds
Jun 14, 2023 07:36Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupanua ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni wa Israel mashariki mwa Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Arab League yatahadharisha:Jamii ya kimataifa imepuuza kadhia ya Palestina
Jun 14, 2023 04:14Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ametahadharisha kuhusu hatua ya jamii ya kimataifa ya kupuuza suala la Palestina chini ya kivuli cha utawala wa Kizayuni wenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia.
-
Wazayuni waendelea kubomoa nyumba za Wapalestina
Jun 14, 2023 01:06Utawala ghasibu wa Israel umeendeleza jinai zake dhidi ya raia wa Kipalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kwa kubomoa nyumba za familia 5 za Kipalestina.
-
Mwendo wa kasi wa kuboreshwa uhusiano wa Saudi Arabia na Syria
Jun 13, 2023 23:07Faisal al-Miqdad Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Syria Jumapili iliyopita aliwasili Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake, kuitikia mwaliko wa Faisal Bin Farhan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Saudi Arabia.
-
Kudhihirika zaidi kutokuwa na natija vikwazo vya Marekani ulimwenguni
Jun 13, 2023 07:45Mkutano wa kibiashara wa mataifa ya Kiarabu na China umefanyika katika mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh katika hali ambayo, Beijing inafanya juhudi za kuhakikisha kuwa inanyakua nafasi ya kwanza ya biashara katika eneo la Asia Magharibi.
-
Jumbe za Kiislamu za Quds: Msikiti wa al Aqsa ni mstari wetu mwekundu
Jun 13, 2023 01:10Ujumbe wa ngazi ya juu wa Kiislamu na jopo la maulamaa wa Baitul Muqaddas wametahadharisha kuhusu njama za utawala wa Kizayuni za kutaka kubadili mazingira ya msikiti wa al Aqsa na kusisitiza kuwa eneo hilo takatifu ni mstari wao mwekundu.
-
Hizbullah yaionya Israel; Mkifanya makosa, tutaingia al-Jalil
Jun 12, 2023 07:44Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa, iwapo utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utafanya mahesabu ghalati, basi ujiandae kukabiliwa kwa makombora ya wanamuqawama.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lalaani ujenzi wa vitongozi vya walowezi Palestina
Jun 12, 2023 04:29Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama katika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi wametoa taarifa wakilaani kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kuutaja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa azimio nambari 2334 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran, kimbilio la kwanza la wakimbizi wa Kiafghani katika miaka miwili ya karibuni
Jun 12, 2023 02:57Shirika la Kimataifa wa Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa kituo cha kwanza cha kuwapokea wakimbizi kutoka Afghanistan katika kipindi cha miaka miwili ya karibuni.
-
UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mamia ya Wapalestina kufukuzwa Quds (Jerusalem)
Jun 12, 2023 01:12Afisa wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu hatari ya kufukuzwa na kukosa makazi mamia ya Wapalestina wa Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.