-
Imran Khan: Masaibu yangu yametokana na kuipa mgongo Marekani
Jun 12, 2023 01:07Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan ameituhumu Marekani kwa kula njama iliyopelekea kuangushwa kwa serikali yake iliyochaguliwa kidemokrasia.
-
Baada ya mwanajeshi wa Misri kuwaangamiza, sasa wanajeshi wa Israel wanagwaya kutumwa mpaka wa Misri
Jun 11, 2023 08:04Baadhi ya duru za kuaminika za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa, wanajeshi wa Israel wana hofu kubwa ya kutumwa kwenye mpaka wa Misri baada ya mwanajeshi mmoja wa Misri kuangamiza wanajeshi watatu wa Israel na kuwajeruhi wengine kadhaa.
-
Majasusi wa Israel wawafanyia ujasusi mkubwa wananchi wa nchi za Kiarabu
Jun 11, 2023 07:57Tovuti ya habari ya ICAD imefichua kuwa, utawala wa Kizayuni unawafanyia ujasusi mkubwa watumiaji Waarabu wa mitandao wa kijamii ikiwa ni pamoja na kudukua mambo wanayoyatuma kwenye mitandao hiyo ili kupata watu wa kuwatumia kwa maslahi yao.
-
Chama cha Jordan: Njama mpya za Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa ni kutangaza vipya
Jun 11, 2023 04:27Chama cha Islamic Action Front cha Jordan kimetangaza kuwa, njama mpya za utawala wa muda wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa na hujuma zake dhidi ya eneo hilo takatifu ni kutangaza vita.
-
Hizbullah: Mazungumzo ndio njia pekee ya kutatua mkwamo wa kuchagua Rais nchini Lebanon
Jun 11, 2023 04:24Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mkwamo wa uchaguzi wa Rasi nchinin Lebanon ni mazungumzo.
-
Aal Saud wapinga maagizo ya kiimla ya Marekani kuhusu siasa zao za kigeni
Jun 11, 2023 00:55Vyanzo vya Marekani vimetangaza kuwa Saudi Arabia imekataa maombi ya Washington ya kuitaka ijitenge na China pamoja na Russia na kusisitiza juu ya kuendeleza siasa zake huru za kigeni.
-
Ansarullah ya Yemen yaionya Saudia isizike taka zake za nyuklia nchini Yemen
Jun 10, 2023 03:19Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeionya Saudi Arabia isithubutu kuzika taka zake za atomiki katika maeneo ya jangwani na baharini ya Yemen.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yakiri kupungua umaarufu wa Fath; mapatano chanzo cha kupoteza itibari
Jun 10, 2023 01:24Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekiri kwamba siasa zake za mapatano na maadui wa taifa la Palestina zimepelekea kupungua umaarufu wa harakati ya Fath iliyobuniwa kwa lengo la kupigania uhuru wa taifa hilo.
-
Hizbullah yasema iko tayari na inafuatilia yanayojiri Kafr Shuba
Jun 09, 2023 22:14Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa inafuatilia yanayojiri katika eneo la Kafr Shuba na uchokozi uliofanywa na askari wa utawala haramu wa Israel katika ardhi ya Lebanon.
-
Mapitio ya kikao cha kwanza cha pande tatu cha Iran, China na Pakistan kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi
Jun 09, 2023 08:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, China na Pakistan zimefanya mkutano mjini Beijing ikiwa ni wa kwanza wa mashauriano ya pande tatu katika uwanja wa usalama na kukabiliana na jinamizi la ugaidi.