-
Waziri Mkuu wa Yemen: Marekani na Israel zina njama ya kuigawa Yemen vipande vipande
May 23, 2023 22:24Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ametahadharisha kuhusu mradi wa kinyama unaoendelezwa na baadhi ya nchi za Magharibi na utawala haramu wa Israel unaolenga kuvuruga umoja na kuigawa Yemen vipande vipande.
-
OIC yalaani kuuawa shahidi Wapalestina 3 Nablus
May 22, 2023 23:49Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani kitendo cha wanajeshi makatili wa Israel cha kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Hizbullah yafanya mazoezi ya kijeshi kusini ya Lebanon ya kujiandaa na vita na Israel
May 22, 2023 07:11Vikosi vya wanamuqawama wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon vimefanya mazoezi maalumu ya kijeshi katika moja ya kambi za harakati hiyo kusini mwa nchi hiyo.
-
Syria: Rais Assad hatakutana na Erdogan mpaka Uturuki ikomeshe uvamizi na ukaliaji wa ardhi
May 22, 2023 06:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad amesema, uhusiano wa nchi hiyo na Uturuki hautarejea katika hali ya kawaida isipokuwa tu kama nchi hiyo itaondoka katika ardhi ya Syria.
-
Ni Iran pekee iliyosimama na watu wa Yemeni katika nyakati ngumu: Balozi wa Yemen
May 22, 2023 03:31Balozi wa Yemen nchini Iran amepongeza uungaji mkono usioyumba wa Jamhuri ya Kiislamu kwa nchi hiyo masikini ya Kiarabu kwa muda wote wa uvamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na kusisitiza kuwa ni Iran pekee ndiyo ilisimama pamoja na watu wa Yemen katika nyakati ngumu.
-
Timu ya vitara (fencing) ya Iraq yakataa kushindana na Israel
May 22, 2023 03:02Timu ya taifa ya vitara (fencing) ya Iraq imejiondoa katika michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2023 ya Shirikisho la Kimataifa la Vitara (FIE) katika mji wa Istanbul nchini Uturuki baada ya kubaini kwamba italazimika watalazimika kukabiliana na timu ya utawala haramu wa Israel.
-
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC yalaani kuvunjiwa heshima msikiti wa al-Aqswa
May 21, 2023 23:19Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali hatua ya Itamar Ben-Gvir, Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo ya kufuruutu ada ya kuvamia msikiti wa al-Aqswa.
-
Mkutano wa Jeddah; Uwepo wa Syria na sisitizo la haja ya kutatua changamoto za ndani za nchi za Kiarabu
May 21, 2023 23:16Mkutano wa 32 wa wakuu wa nchi za Kiarabu ulifanyika Mei 19 ukiwa umeandaliwa na Saudi Arabia mjini Jeddah, huku taarifa ya mwisho ya mkutano huo ikikaribisha kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na kuimarishwa ushirikiano kati ya nchi hizo sambamba na haja ya kutatuliwa changamoto za ndani za nchi hizo.
-
WHO yatakiwa kusaidia kuachiliwa huru mateka wa Kipalestina
May 21, 2023 10:09Kamati ya Wafungwa wa Kipalestina imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuingilia kati na kuokoa roho za mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya kuogofya ya utawala vamizi wa Israel.
-
Jihadul- Islami:Hujuma yoyote dhidi ya Quds; itavuruga milingano yote
May 21, 2023 09:31Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imesisitiza kuwa sera za jinai za adui Mzayuni dhidi ya Quds na Msikiti wa Al-Aqsa zinafanyika katika fremu ya vita vya kidini vya utawala huo dhidi ya taifa la Palestina.