-
Jihadul- Islami:Hujuma yoyote dhidi ya Quds; itavuruga milingano yote
May 21, 2023 09:31Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imesisitiza kuwa sera za jinai za adui Mzayuni dhidi ya Quds na Msikiti wa Al-Aqsa zinafanyika katika fremu ya vita vya kidini vya utawala huo dhidi ya taifa la Palestina.
-
Yemen: Arab League hairekebishiki kwa sababu Marekani ina ushawishi mkubwa ndani yake
May 21, 2023 03:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imekosoa taarifa ya kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu iliyotolewa jana Jumamosi na kusisitiza kuwa, hakuna matumaini ya kuifanyia mageuzi na marekebisho jumuiya hiyo.
-
Baada ya miaka 56 askari wa Kizayuni azirejesha funguo alizoiba za Msikiti wa Al Aqsa
May 20, 2023 22:45Mwanajeshi wa zamani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amezirejesha funguo za Babul-Magharibah, moja ya milango ya ukuta wa magharibi wa Msikiti wa Al-Aqsa, tangu alipoziiba miaka 56 iliyopita katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na akaeleza: "hivi ndivyo Israel inapaswa kuwafanyia Wapalestina".
-
Duru za Kizayuni zakiri ushindi mkubwa wa Rais Bashar al Assad wa Syria
May 20, 2023 07:41Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimekiri kwamba Rais Bashar al Assad wa Syria amepata ushindi mkubwa kwa kushiriki kwake katika Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Arab League mjini Jeddah na kuonana kwake na mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia, Mohammad bin Salman.
-
Afisa wa zamani wa Kizayuni akiri utawala huo ulimuua mwandishi wa habari wa Palestina, Shireen Abu Akleh
May 20, 2023 03:22Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar imetangaza katika ripoti yake kwamba afisa mmoja wa ngazi ya juu katika ofisi ya waziri wa zamani wa ulinzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwa serikali ya Marekani kwamba Israel ilihusika na mauaji ya mwandishi wa habari wa Kipalestina "Shireen Abu Akleh" aliyepigwa risasi na wanajeshi wa utawala huo ghasibu.
-
Mkutano wa nchi za Kiarabu wamalizika Jeddah kwa wito wa kutatuliwa kadhia za Palestina, Syria
May 19, 2023 22:43Viongozi wa nchi za Kiarabu wamekamilisha mkutano wao huko Jeddah, Saudi Arabia kwa kutoa taarifa iliyosisitiza udharura wa kutatuliwa kadhia ya Palestina na mgogoro wa Syria.
-
OIC na nchi Kiislamu zalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya al Aqsa
May 19, 2023 06:58Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na nchi za Kiislamu zimelaani hujuma iliyofanywa na Wazayuni wakiongozwa na mawaziri na wabunge kadhaa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika kile kilichopewa jina la "siku ya bendera".
-
Maandaano ya bendera na uwezekano wa kutokea vita vingine Palestina
May 19, 2023 03:56Kwa mujibu wa kalenda ya Kiibrania, maandamano ya Siku ya Bendera yalifanyika jana Mei 18, maandamano ambayo ni nembo ya ubaguzi wa rangi wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya taifa la Palestina na jamii nyinginezo kwa ujumla.
-
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia + Video
May 18, 2023 22:55Rais Bashar al Assad wa Syria usiku wa kuamkia leo Ijumaa amewasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ikiwa ni ziara ya kwanza ya kutembelea nchi hiyo tangu Syria ilipotumbukizwa kwenye mgogoro wa uvamizi wa magenge ya kigaidi.
-
HAMAS: Hatutaruhusu mipango michafu ya Wazayuni itekelezwe Masjidul-Aqswa
May 18, 2023 22:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, katu haitaruhusu mipango na njama chafu za Wazayuuni dhidi ya msikitii wa al-Aqswa zitekelezwa kivitendo.