-
Yemen: Upumbavu wowote utakaofanywa na wavamizi tutaujibia ndani ya ardhi yao
Apr 02, 2023 07:21Msemaji wa vikosi vya uinzi vya Yemen amesema: "iwapo wavamizi wa nchi hii watafanya upumbavu wowote ule, jibu letu litakuwa la kushtukiza na litajumuisha mashambulizi makubwa ambayo yataathiri eneo zima".
-
Gazeti la Wall Street: Syria na Misri zinakaribia kurejesha uhusiano wa kidiplomasia
Apr 02, 2023 07:20Duru za kuaminika zimelidokeza gazeti la Wall Street (WSJ) linalochapishwa nchini Marekani kwamba Syria na Misri ziko katika mazungumzo ya ngazi ya juu ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia ambao ulivunjwa baada ya kuzuka mgogoro nchini Syria mnamo mwaka 2011.
-
Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria
Apr 02, 2023 04:35Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.
-
Hamas: Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hazitapita bila jibu
Apr 02, 2023 04:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani mauaji yanayofanywa na askari wa utawala haramu wa Israel dhidi ya vijana wa Kipalestina katika Msikiti wa Al-Aqsa na kutangaza kuwa uhalifu huo hautapita bila kujibiwa.
-
Hamas yalaani kuwepo baadhi ya wanasiasa wa Kiarabu katika mkutano wa mapatano na Wazayuni
Apr 01, 2023 23:35Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina "HAMAS" imelaani vikali kuwepo kwa shakhsia wa Kiarabu na Kiafrika katika mkutano wa kuhalalisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kutoa wito wa kulaaniwa kitendo hicho sambamba na kutambuliwa kuwa ni kosa la jinai.
-
Hatua ya kwanza ya Saudi Arabia kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai
Apr 01, 2023 10:18Baraza la Mawaziri la Saudi Arabia limeidhinisha uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
HAMAS: Damu za mashahidi zitalinda utambulisho wa msikiti wa al-Aqswa
Apr 01, 2023 05:52Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, damu mashahidi wa Palestina italinda utambulisho wa Kipalestina, Kiarabu na Kiislamu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Amnesty International: Utawala wa Bahrain ungali unakandamiza uhuru wa kujieleza
Apr 01, 2023 05:49Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, utawala wa kifalme wa Bahrain umeendelea kukandamiza uhuru wa kujieleza na kuendelea kuwashikilia wafungwa raia wanaoukosoa utawala huo.
-
Damascus: Tuko tayari kukabiliana na mashambulizi ya magaidi wa Israel
Mar 31, 2023 23:26Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imeyataja mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya nchi hiyo kuwa ni ya kigaidi na kusisitiza kuwa, Damascus iko tayari kukabiliana na jinai hizo za kifashisti.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Waislamu wayawekee vikwazo vya kiuchumi mataifa yanayoivunjia heshima Qur'ani
Mar 31, 2023 08:07Kiongozi wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, watu wanaoongoza jinai ya kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu na kulikariri hilo ni lobi za Wazayuni.