-
Taathira za kuimarishwa uhusiano wa Iran na Saudi Arabia kwa utawala wa Kizayuni
Mar 13, 2023 22:35Baada ya miaka 7 ya kuvunjwa uhusiano wao, Iran na Saudi Arabia zilitia saini taarifa ya kurejesha uhusiano kwa upatanishi wa China mnamo Machi 10 huko Beijing. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, balozi za nchi hizi mbili zitafunguliwa baada ya miezi miwili.
-
Kiongozi wa HAMAS: Makubaliano ya Iran na Saudia ni kwa manufaa ya muqawama
Mar 13, 2023 09:19Dr. Mahmoud al-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, makubaliano ya Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya muqawama na kwamba, harakati hiyo inayaunga mkono.
-
Afisa wa jeshi la Iraq: Zaidi ya wanachama 400 wa ISIS bado wako Iraq
Mar 13, 2023 03:53Afisa wa jeshi la Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) bado lina wapiganaji 400 hadi 500 katika nchi hiyo.
-
Sababu za Saudia kufikia makubaliano na Iran
Mar 13, 2023 02:51Iran na Saudi Arabia zimekubaliana kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya kukatwa kwa miaka 7 na kuamua kufungua tena balozi zao katika muda wa miezi miwili ijayo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia: Nina hamu ya kuonana na waziri mwenzangu wa Iran
Mar 13, 2023 02:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Faisal bin Farhan ameelezea nia yake ya kukutana haraka na Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian, baada ya nchi hizi mbili kufikia makubaliano ya kufufua uhusiano baina yao.
-
Libya: Mapatano kati ya Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya nchi za Asia Magharibi
Mar 12, 2023 23:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya imetoa taarifa na kukaribisha mapatano yaliyofikiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia na kueleza kuwa, mapatano hayo yana maslahi kwa nchi mbili na eneo zima la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Arab League, Hizbullah zakaribisha kuhuishwa uhusiano wa Iran, Saudia
Mar 12, 2023 07:06Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imekaribisha makubaliano ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa Iran na Saudi Arabia, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo.
-
Wapalestina wengine 3 wauawa shahidi Ukingo wa Magharibi
Mar 12, 2023 06:18Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameendeleza jinai zao za umwagaji damu kwa kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika mji wa Nablus katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Viongozi wa HAMAS: Tuko mstari wa mbele katika mapambano ya Ukingo wa Magharibi na Quds
Mar 11, 2023 23:09Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imefanya mkusanyiko huko Beit Lahya kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa ajili ya kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa, mateka wa Kipalestina na muqawama wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza mjini Baghdad
Mar 11, 2023 09:45Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu wenye lengo la kukuribisha pamoja mitazamo ya Kiislamu na kuimarisha umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu umeanza kazi zake huko Baghdad nchini Iraq kwa juhudi za Diwani ya Waqf wa Kisuni.