-
Ongezeko la wanajeshi wanaojiua lautia kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 25, 2022 22:48Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Yediot Ahronot limeripoti kuwa askari 14 wa jeshi la utawala huo wamejiua ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu.
-
Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu
Dec 25, 2022 22:46Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wa Palestina na wakati huo huo kukalia kwa mabavu maeneo matakatifu ya Waislamu ikiwa ni pamoja na Msikiti wa al-Aqsa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, umetia saini mapatano mapya ya kushirikiana kiuchumi na kibiashara na utawala huo ghasibu.
-
Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina
Dec 24, 2022 22:47Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.
-
Imarati na utawala wa Kizayuni zasaini makubaliano makubwa ya kiuchumi
Dec 24, 2022 08:24Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) umetiliana saini na utawala dhalimu na pandikizi wa Kizayuni, makubaliano makubwa na pande zote ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na kupunguza ushuru wa bidhaa.
-
Mvua kali na mafuriko katika majimbo ya Makka na Jeddah Saudia
Dec 24, 2022 02:56Mafuriko makubwa yaliukumba mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia siku ya Ijumaa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, kuharibu magari na mali katika mji huo.
-
Amnesty: Israel imefanya 'jinai ya kivita' kwa kumtimua mwanaharakati wa Kipalestina
Dec 24, 2022 02:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema hatua ya Israel ya kumfukuza mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu Salah Hammouri, Mfaransa mwenye asili ya Palestina, ni jinai ya kivita.
-
Baraza jipya la mawaziri la Netanyahu na changamoto zilizopo
Dec 24, 2022 02:24Benjamin Netanyahu alitangaza katika dakika za mwisho za muda wake wa mwisho kisheria wa kutangaza serikali kwamba alikuwa amefanikiwa kuunda baraza jipya la mawaziri la utawala haramu wa Israel.
-
Mamia ya nyumba za Wapalestina zimebomolewa tangu kuanza mwaka huu (2022)
Dec 23, 2022 08:32Mamia ya nyumba za wananchi wa Palestina zimebomolewa na utawala haramu wa Israel tangu kuanza mwaka huu wa 2022 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu.
-
Lori la pombe lapinduka Saudia, malalamiko yatanda mtandaoni
Dec 23, 2022 03:24Picha za lori lililopinduka likiwa limebeba pombe kwenye barabara moja mjini Riyadh Saudi Arabia zimezua malalamiko mengi kwenye mitandao ya kijamii.
-
Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina
Dec 22, 2022 23:42Rais wa Chile, Gabriel Boric amesema nchi hiyo inapanga kufungua ubalozi wake huko Palestina kwa shabaha ya kuongeza kiwango cha uwakilishwaji wake rasmi katika taifa hilo linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.