-
HAMAS: Vita dhidi ya Israel vitaendelea mpaka mateka wote wa Kipalestina watakapoachiliwa huru
Sep 02, 2022 23:25Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, vita dhidi ya utawala haramu wa Israel vitaendelea mpaka pale mateka wote wa Kipalestina wanaoshikiliwa na utawala huo ghasibu watakapoachiliwa huru.
-
Yemen: Tuna uwezo wa kupiga popote katika maji yanayoizunguka nchi yetu
Sep 02, 2022 03:18Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, nchi hiyo ina uwezo wa kupiga na kushambulia katika sehemu yoyote ya maeneo ya majini yaliyoko karibu na Yemen.
-
Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora
Sep 01, 2022 03:02Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Rais wa Lebanon: Misimamo ya Imamu Musa Sadr inatoa ilhamu kwetu sote
Aug 31, 2022 21:56Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, misimamo ya Imamu Musa Sadr ni chemchemi ya ilhamu kwa Walebanon wote ili wafanye juhudi kwa ajili ya ukombozi wa nchi na watu wake.
-
Sheikh Issa Qassim: Kujengwa kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi Manama ni jinai
Aug 31, 2022 07:21Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amekosoa viikali uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi katika mji mkuu Manama na kueleza kwamba, hatua hiyo ni jinai na dhulma ya wazi dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri Mkuu wa Iraq kujiuzulu iwapo mkwamo wa kisiasa utaendelea kushuhudiwa
Aug 31, 2022 02:52Waziri Mkuu wa Iraq ametishia kuwa atajiuzulu wadhifa wake huo iwapo mkwamo na mgogoro wa kisiasa utaendelea kushuhudiwa nchini huo.
-
Msimamo mmoja wa wapinzani Bahrain wa kususia uchaguzi wa Bunge
Aug 30, 2022 21:49Uchaguzi wa Bunge nchini Bahrain umepangwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Hata hivyo mrengo wa upinzani nchini humo umetangaza kususia uchaguzi huo.
-
Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq
Aug 30, 2022 08:30Jumatatu ya jana tarehe 29 Agosti Iraq ilishuhudia sokomoko na matukio ambayo kimsingi yalitabiriwa kutokea.
-
Iran inataka mgogoro wa Iraq kutatuliwa kupitia njia za kisheria
Aug 29, 2022 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza haja ya kuhifadhiwa umoja wa kitaifa wa Iraq, akisema matatizo ya nchi hiyo yanapaswa kutatuliwa kwa njia za kisheria.
-
IGAD: Pembe ya Afrika kukosa mvua kwa mwaka wa tano mtawalia
Aug 29, 2022 22:02Ukame wa kutisha unaolikumba eneo la Pembe ya Afrika ni mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40, huenda ukawa mbaya zaidi.