-
HAMAS: Muqawama ndiyo njia ya kimsingi zaidi ya kuihami Quds Tukufu
Apr 18, 2022 22:30Mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Baytul Muqaddas ndio mji mkuu wa milele wa Palestina na kusisitiza kuwa, kinachoifanya Quds ibakie ni kuendelezwa muqawama mbele ya adui vamizi.
-
Kuendelea kamatakamata nchini Saudi Arabia; mapambano dhidi ya ufisadi katika kivuli cha kuungwa mkono Bin Salman
Apr 18, 2022 21:42Katika kuendelea kutiwa nguvuni shakhsia na wapinzani nchini Saudi Arabia, watawala wa nchi hiyo wamewatia mbaroni watuhumiwa kadhaa katika kesi 13 za jinai zinazowakabili.
-
Nchi za Kiislamu zaendelea kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden
Apr 18, 2022 08:39Nchi za Kiislamu na Kiarabu zimeendelea kulaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini Sweden.
-
Velayati: Iran itaendelea kuunga mkono watu wa Palestina
Apr 18, 2022 00:09Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepongeza mafanikio ya hivi karibuni ya harakati za kupigania ukombozi wa Palestina na kuongeza kuwa Iran itaendelea kuunga mkono watu wa Palestina.
-
Haniyeh: Wapalestina kamwe hawatasalimu amri kwa Wazayuni
Apr 17, 2022 09:10Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, Wapalestina kamwe hawatasalimu amri mbele ya jinai na vitendo vya kigaidi vya Wazayuni.
-
Sisitizo la Jumuiya ya Mwamko wa Kiislamu kuhusu ulazima wa kukabiliana na jinai za Israel
Apr 17, 2022 06:08Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu imetoa taarifa na kulaani hatua za kichokozi na jinai mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kusisitiza kuhusu ulazima wa kukabiliana na jinai za utawala huo. Aidha jumuiya hiyo imepongeza muqawama au mapambano ya watu wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Wamorocco, Wabahrain, Waturuki waandamana kuitetea Aqsa, Syria, Kuwait zatoa kauli
Apr 17, 2022 03:47Wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Rabat kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, sanjari na kulaani kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kuuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa.
-
Mkuu wa zamani wa ujasusi wa Israel: Bin Salman anaitazama Tel Aviv kama mshirika
Apr 17, 2022 03:23Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Jeshi la utawala haramu wa Israel amesema Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anaitazama Tel Aviv kama mshirika wake wa karibu.
-
Hizbullah yatangaza mshikamano na wananchi mashujaa wa Palestina
Apr 16, 2022 21:51Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza mshikamano wake na wananchi wa Palestina na kuyatolea wito mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kutekeleza majukumu yao katika kuitetea Quds Tukufu.
-
Siku ya Muqawama katika Mwezi wa Ramadhani; irada ya Wapalestina ya kukabiliana na jinai za Wazayuni
Apr 16, 2022 05:04Siku ya Ijumaa alfajiri, askari wa utawala haramu wa Israel waliwashambulia Wapalestina ndani ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) ambapo zaidi ya waumini 150 wamejeruhiwa. Jinai hiyo imewapa Wapalestina irada ya kuimarisha mapambano yao dhidi ya adui Mzayuni mtenda jinai.