-
Uvamizi wa Israel dhidi ya kibla cha kwanza cha Waislamu unaendelea, Wapalestina zaidi ya 400 wametiwa nguvuni
Apr 15, 2022 22:10Wanajeshi vamizi wa Israel wanaendelea kuvamia viwanja vya Msikiti wa Al-Aqswa na kuvunjia heshima kibla cha kwanza cha Waislamu baada ya mashambulizi yaliyofanywa na askari wa utawala huo mapema jana Ijuma wakishirikiana na walowezi wa Kizayuni dhidi ya waumini waliokuwa wakitekekeleza ibada ya Swala.
-
OIC yalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa, Guterres ataka UN ichukue hatua
Apr 15, 2022 06:00Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma iliyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na askari wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa.
-
Syria yatungua makombora ya Israel nje ya Damascus
Apr 15, 2022 03:16Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyokuwa yamevurumishwa na ndege za utawala haramu wa Israel nje ya mji mkuu Damascus.
-
Israel imewaua shahidi Wapalestina 17 katika mwezi huu wa Aprili
Apr 15, 2022 03:13Utawala haramu wa Israel umeshadidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan tokea mwanzo wa mwezi huu wa Aprili kwa lengo la kuzima oparesheni za wananchi wanamapambano wa Palestina ambao wanakabiliana na jinai za utawala huo.
-
HAMAS yatoa mwito kwa Wapalestina kusimama imara kukabiliana na Wazayuni
Apr 14, 2022 05:54Naibu wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema baada ya Wazayuni kuwaua shahidi vijana wanne wa Kipalestina kwamba wananchi wote wa Palestina wanapaswa kusimama imara kupambana kiume na Wazayuni.
-
Sana'a: Umoja wa Mataifa unataka kupora haki za Wayemen
Apr 14, 2022 05:46Mjumbe wa timu ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa yenye makao makuu yake Sana'a, mji mkuu wa Yemen amesema kuwa, hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kulitambua baraza la uongozi wa Yemen lililoundwa na Wasaudia, ni kupora haki za wananchi wa Yemen.
-
Al Barghuthi: Jenin haitabaki pekee yake,Wapalestina wataiunga mkono
Apr 14, 2022 02:50Katibu Mkuu wa harakati ya Palestinian Initiative, Mustafa Barghouthi ameeleza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu unamwaga daumu za Wapalestina katika juhudi za kuficha kushindwa kwake kisiasa na kiusalama.
-
Makundi ya muqawama wa Palestina yaitisha kikao cha dharura kujadili jinai za Israel
Apr 13, 2022 06:55Makundi mbalimbali ya mapambano ya Palestina yameitisha kikao cha dharura mjini Ghaza kutokana na kuongezeka mno uhalifu na jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Televisheni ya Saudia yarusha kipindi cha kumdhihaki Biden
Apr 13, 2022 03:12Televisheni moja inayofadhiliwa na dola la Saudi Arabia imerusha kipindi cha kuchekesha, kilichoonekana kumdhihaki na kumdhalilisha Rais wa Marekani Joe Biden, huku uhusiano wa Washington na Riyadh ukiendelea kuporomoka.
-
HAMAS: Vitisho vya Israel haviwezi kuwababaisha Wapalestina
Apr 13, 2022 03:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amejibu matamshi ya kifedhuli ya Waziri wa Vita wa Israel, Benny Gantz na kusisitiza kuwa: Vitisho kamwe haviwezi kuwababaisha na kuwashtua Wapalestina