-
Saudia yaruhusu Waislamu milioni moja kutekeleza Ibada ya Hija mwaka huu
Apr 10, 2022 02:53Utawala wa Saudia umetangaza Jumamosi kwamba nchi hiyo itawaruhusu Waislamu milioni moja kushiriki katika ibada inayokuja ya Hija.
-
Iran yatafakari kuwapokea wageni wa Kombe la Dunia la Qatar
Apr 10, 2022 02:47Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewasilisha pendekezo la kuwaruhusu raia wa kigeni watakaofika Qatar kama watazamaji wa Kombe la Dunia la FIFA 2022 kuingia Iran bila kulipia visa.
-
Uungaji mkono wa Uturuki kwa utawala wa Kizayuni
Apr 09, 2022 23:47Matukiko yanayoshuhudiwa sasa huko Uturuki kufuatia nchi hiyo kuingilia kijeshi baadhi ya nchi jirani na kujaribu kuyakalia kwa mabavu baadhi ya maeneo ya Syria na Iraq; matatizo ya nchi hiyo katika sekta za kiuchumi, kisiasa na kijeshi hivi sasa yameongezeka pakubwa tangu mwaka 2018.
-
Iran yasema Wapalestina wana haki ya kupambana na Israel
Apr 09, 2022 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema Wapalestina wana haki ya kisheria na iliyo wazi ya kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi zao kwa mabavu.
-
Oparesheni ya tano ya kujitolea kufa shahidi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Apr 09, 2022 06:15Wazayuni 2 wameangamizwa na 16 wengine wamejeruhiwa katika oparesheni ya tano ya kujitolea kufa shahidi iliyotekelezwa na kijana wa Kipalestina huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS yalaani kitendo cha Uturuki na Bahrain cha kuunga mkono utawala wa Kizayuni
Apr 09, 2022 02:37Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amelaani kitendo cha Uturuki na Bahrain cha kulaani operesheni ya kishujaa ya mwanamapambano mmoja wa Palestina huko Tel Aviv.
-
Hizbullah ya Lebanon: Operesheni ya kijana wa Kipalestina Tel Aviv imedhihirisha udhaifu wa utawala wa Kizayuni
Apr 08, 2022 22:03Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imesema kuwa, operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana mmoja Mpalestina katikati ya Tel Aviv imedhihirisha udhaifu wa utawala wa Kizayuni na kufeli vyombo vya usalama vya utawala huo pandikizi.
-
Ansarullah yakaribisha kujiuzulu Hadi, yapinga mazungumzo ya Wayemen huko Saudia
Apr 08, 2022 21:55Harakati ya Ansarullah ya Yemen sambamba na kupongeza hatua ya Abdrabbuh Mansour Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu mwenyewe na kukimbilia Saudi Arabia kutangaza rasmi kuachia ngazi, imesema kitendo hicho kimeufanya Umoja wa Mataifa usiwe tena na kijisababu cha kuendelea kuwaunga mkono wavamizi wa nchi hiyo maskini, wakiongozwa na Saudia.
-
Kukabidhiwa Saudi Arabia faili la mauaji ya kigaidi ya Khashoggi
Apr 08, 2022 21:54Huku mzozo wa kiuchumi wa serikali ya Ankara na changamoto za kifedha zikizidi kuongezeka, matatizo ya maisha ya watu wa Uturuki hatimaye yameipelekea serikali ya Recep Tayyip Erdogan kwa mara nyingine tena kushirikiana na utawala haramu wa Israel, Marekani, Misri na tawala nyingine vibaraka za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
-
Vikosi maalumu vya jeshi la Kizayuni vyaitwa baada ya operesheni ya Wapalestina Tel Aviv
Apr 08, 2022 03:31Vikosi maalumu na makomandoo wa jeshi la Israel vimeitwa Tel Aviv kufuatia operesheni ya wanamapambano ya Palestina iliyofanywa jana usiku na kuangamiza Wazayuni wawili.