-
Mwisho wa maisha ya kisiasa ya Mansour Hadi; muongo uliojaa usaliti na kujisalimisha
Apr 08, 2022 02:17Rais mtoro wa Yemen Abd Rabbu Mansour Hadi amekabidhi madaraka kwa naibu wake, na kutangaza kuundwa kwa Baraza la Uongozi wa Rais.
-
Mamlaka ya Ndani yaitaka Uingereza iitambuliwe rasmi Palestina
Apr 07, 2022 22:16Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametoa wito kwa serikali ya Uingereza kutekeleza uamuzi wa Baraza la Wawakilishi wa kuitambua Palestina.
-
Israel yashadidisha kamatakamata dhidi ya Wapalestina mwezi huu wa Ramadhani
Apr 07, 2022 09:13Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewashambulia Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwatia mbaroni 13 miongoni mwao.
-
Maji yamfika shingoni Mansour Hadi, atangaza rasmi kuachia ngazi
Apr 07, 2022 06:48Abdrabbuh Mansour Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu mwenyewe na kukimbilia Saudi Arabia ametangaza rasmi kukabidhi madaraka kwa baraza jipya la urais lililoundwa karibuni.
-
Migogoro isiyoisha Israel, serikali ya Kizayuni yachungulia kaburi
Apr 07, 2022 06:00Muungano tawala wa utawala wa Kizayuni unaoongozwa na Naftali Bennett unachungulia kaburi hivi sasa baada Idit Silman kutoka chama cha Yamina cha Bennett mwenyewe, kutangaza ghafla kujiuzulu.
-
Kituo cha haki za binadamu cha Palestina chaitaka jamii ya kimataifa isimamishe ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni
Apr 07, 2022 03:42Kituo cha kutetea haki za binadamu chenye makao yake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel kimeitaka jamii ya kimataifa ifanye juhudi za kusimamisha mara moja ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni na Mayahudi katika ardhi hizo.
-
Upinzani Bahrain wataka kutimuliwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani
Apr 06, 2022 21:27Kundi moja la upinzani nchini Bahrain limelaani uwepo wa vikosi vya majini vya Marekani nchini humo na kusisitiza kuwa, wakati umefika wa kufunga kambi ya kijeshi na kuwafukuza wanajeshi wa US katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Wananchi wa Yemen wahanga wa mabomu ya kutegwa ardhini yaliyosalia kufuatia uvamizi wa Saudia
Apr 06, 2022 06:40Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, katika kipindi cha miaka miijne iliyopita zaidi ya raia wa Yemen 1800 wameaga dunia na kujeruhiwa na mabomu ya kutegwa ardhini nchini humo kufuatia uvamizi wa Saudia na washirika wake.
-
Hania: Umoja wa Mataifa uwajibike mkabala wa chokochoko na uvamizi wa Tel Aviv
Apr 06, 2022 06:04Mkuu wa ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameutaka Umoja wa Matafa utekeleze majukumu yake kwa kuchukua hatua dhidi ya uvamizi na chokochoko za utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Mwisho wa Abdrabbuh Mansur Hadi; hatima ya kila msaliti, mamluki
Apr 05, 2022 22:18Ushahidi unaonesha kuwa Saudi Arabia imeamua kumpiga teke Abdrabbuh Mansur Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu mwenyewe na kukimbilia Saudia kushirikiana na wavamizi wa nchi yake. Kuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Riyadh imemtupa nje ya ulingo wa siasa Mansur Hadi.