-
Saudia yakiuka makubaliano ya kusimamisha vita Yemen mara 119
Apr 05, 2022 07:25Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umekiuka makubaliano ya kusimamisha vita kwa muda wa miezi miwili huko nchini Yemen zaidi ya mara 119 ndani ya saa 24 zilizopita.
-
Ripoti: Israel imewateka nyara watoto 9,000 wa Kipalestina tokea 2015
Apr 05, 2022 02:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewateka nyara maelfu ya watoto wa Kipalestina katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Wanajeshi wa Israel wawafanyia ukatili waumini wa Kipalestina huko al-Quds katika usiku wa pili wa mwezi wa Ramadhani
Apr 04, 2022 02:53Vikosi vya utawala wa Israel vimewashambulia Wapalestina katika Lango la Damascus huko al-Quds inayokaliwa kwa mabavu na kuwapiga vikali waumini wa Kipalestina na kuwatia mbaroni wengine katika usiku wa pili wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Usitishaji vita wa miezi miwili; juhudi za kuikoa Saudia au utangulizi wa kukomeshwa kabisa vita vya Yemen?
Apr 03, 2022 22:14Hans Grundberg, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen amesema kuwa, pande zinazopigana nchini humo zimekubaliana na mpango wa umoja huo wa kusimamisha vita kwa muda wa miezi miwili. Mpango huo ambao unaweza kuongezewa muda, umeanza kutekelezwa Jumamosi Aprili 2, 2022.
-
Bunge la Pakistan lazuia kuuzuliwa Imran Khan, lakosoa uingiliaji wa maajinabi
Apr 03, 2022 22:05Bunge la Pakistan limetupilia mbali mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Imran Khan, likieleza kuwa limechukua hatua hiyo kutokana na uingiliaji wa madola ya kigeni kwenye mambo ya ndani ya nchi hiyo.
-
Taliban yapiga marufuku uzalishaji wa mihadarati nchini Afghanistan
Apr 03, 2022 22:04Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepasisha sheria ya kupiga marufuku kilimo cha mipopi na uzalishaji wa aina nyingine zote za dawa za kulevya.
-
Mbunge wa Lebanon: Hizbullah inatekeleza majukumu yake
Apr 03, 2022 06:57Mbunge wa Lebanon ameashiria uchaguzi ujao wa bunge nchini humo na kueleza kuwa harakati ya muqawama ya Hizbullah inaheshimu na kutekeleza majukumu yake ya kukabiliana na migogoro na majanga mbalimbali.
-
Onyo la HAMAS kwa Israel baada ya kuwaua shahidi Wapalestina 3 Jenin
Apr 03, 2022 03:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelionya vikali jeshi katili la utawala haramu wa Israel kwa kuwaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huko Jenin.
-
Wasaudia waua raia wasiopungua 3 Yemen, hawakuheshimu hata Ramadhani
Apr 03, 2022 03:46Raia watatu wa Yemen wameuawa baada ya vikosi vya mpakani vya Saudi Arabia kushambulia kwa makombora na mizinga eneo la makazi ya raia katika mkoa wa Kaskazini Magharibi wa Sa'ada nchini Yemen, saa chache baada ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia, ambao umekuwa ukiendesha vita vya zaidi ya miaka 7 dhidi ya taifa la Yemen kukubali mapatano ya kusimamisha vita kwa miezi miwili.
-
UN yapasisha azimio kulaani jinai za Israel eneo la Golan
Apr 02, 2022 22:21Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio lililoukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai ulizozifanya katika Miinuko ya Golan ya Syria.