-
Israel yawaua shahidi Wapalestina 3 siku ya kwanza ya Ramadhani
Apr 02, 2022 08:38Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi Wapalestina watatu kwa kuwapiga risasi katika mji wa Jenin, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Israel yachukua hatua kali za kiusalama sambamba na Swali ya Ijumaa ya kabla ya Ramadhani ndani ya Quds
Apr 01, 2022 06:50Vyombo vya habari vimeripoti kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umechukua hatua kali za kiusalama katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu sambamba na Swala ya Ijumaa ya mwisho ya Wapalestina katika Msikiti wa Al-Aqsa kabla ya kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Jihadul Islami: Operesheni dhidi ya Israel ni jibu kwa jinai zake
Mar 31, 2022 22:59Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema operesheni za hivi karibuni za wanamuqawama wa Kipalestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ni jibu kwa jinai za utawala huo pandikizi na hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.
-
Kikao cha Riyadh kuhusu Yemen; tamthilia ya kisiasa kwa msaada wa Marekani na Umoja wa Mataifa
Mar 31, 2022 05:17Kikao cha Riyadh kuhusu Yemen kimeanza bila ya kushiriki serikali ya Abdu Rabbuh Mansour Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu mwenyewe na kukimbilia Saudia, na bila ya kushiriki pia Serikali ya Wokovu wa Kitaifa yenye makao yake Sana'a.
-
Taasisi ya Yemen: Hakutakuwa na amani bila kuondolewa mzingiro wa nchi vamizi
Mar 31, 2022 04:24Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limetoa taarifa likisisitiza kwamba hakuna amani itakayopatikana bila ya kuondoa mzingiro wa Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa hilo.
-
Ansarullah: Operesheni ya Bnei Brak huko Palestina imewatikisa Wazayuni
Mar 31, 2022 03:30Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen ilitoa taarifa jana Jumatano ikipongeza operesheni ya mwanamapambano wa Palestina huko Bnei Brak, Mashariki mwa Tel Aviv na kusema kuwa, operesheni hiyo imetikisa nguzo za utawala ghasibu wa Israel.
-
Zaidi ya asilimia 85 ya ardhi ya Palestina inahodhiwa na utawala haramu wa Israel
Mar 30, 2022 21:56Kwa mnasaba wa Siku ya Ardhi, Ofisi Kuu ya Takwimu ya Palestina (PCBS) imetangaza kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hivi sasa umehodhi zaidi ya asilimia 85 ya ardhi ya nchi hiyo kulingana na mipaka ya kihistoria.
-
Sisitizo la Iran la kuungwa mkono mapambano ya ukombozi ya watu wa Palestina
Mar 30, 2022 06:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani kikao cha uovu kilichofanyika katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) na kukitaja kuwa ni usaliti kwa mapambano ya ukombozi wa watu wa Palestina.
-
Al Bakhiti: Kusitisha vita vya muungano wa Saudia dhidi ya Yemen hakutoshi
Mar 30, 2022 06:18Mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu wa Ofisi ya Kisiasa ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, tangazo la kusimamisha mashambulizi ya kijeshi ya muungano vamizi wa Saudia huko Yemen bila ya kuiondolea mzingiro nchi hiyo halina maana yoyote.
-
Wazayuni 5 wauawa kwa kupigwa risasi mjini Tel Aviv
Mar 30, 2022 02:08Kwa akali Waisraeli watano wameangamizwa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo viungani mwa mji wa Tel Aviv.