-
Serikali ya Yemen: Bado tungali tunasubiri majibu kutoka kwa Saudia
Mar 29, 2022 06:35Naibu Waziri wa Habari wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, nchi yake bado inasubiri majibu kutoka kwa Saudi Arabia kuhusu hatua ya Sana;a ya kujitolea kusimamisha vita.
-
Az-Zahar: Operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao walichozabwa wafanya mapatano
Mar 29, 2022 03:27Mahmoud az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao ambacho walichapwa wafanyamapatano na wale walio kitu kimoja na utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Abbas akosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu vita vya Russia na Ukraine
Mar 28, 2022 21:01Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) Mahmoud Abbas amezikemea nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kinafiki na kindumakuwili baada ya kuchukua hatua kali dhidi ya Russia kuhusu operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine huku zikipuuza uhalifu unaofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq
Mar 28, 2022 20:55Sera za nje za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki katika suala la uhusiano wa nchi hiyo na nchi zingine za eneo na dunia kwa ujumla ni za kutafakariwa mno kwa sababu haifahamiki ni malengo gani hasa wanayofuatilia viongozi wa Ankara.
-
HRW: Polisi ya Misri inawakandamiza wakimbizi wa Sudan
Mar 28, 2022 06:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeishutumu polisi kwa kuwazuilia kinyume cha sheria na kuwatesa makumi ya wakimbizi wa Sudan.
-
Mashirika 138 ya kutetea haki za binadamu yataka Saudia isitishe vita Yemen
Mar 28, 2022 06:31Taasisi na mashirika 138 ya kutetea haki za binadamu ya Kiarabu yametoa mwito wa kuhitimishwa vita na mzingiro wa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Yemen yaipa fursa ya mwisho Saudi Arabia ili iangalie upya uvamizi wake
Mar 28, 2022 02:49Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Yemen imetoa muhula wa mwisho kwa muungano vamizi wa Saudia na Imarati kufikiria upya na kwa uzito wa hali ya juu suala la amani nchini Yemen na kukomesha hatua zozote zinazokwamisha kufikiwa makubaliano.
-
Harakati za Palestina zalaani mkutano wa nchi nne za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 27, 2022 23:02Harakati za Palestina za Hamas na Jihadul-Islami zimelaani mkutano waliofanya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Naqab.
-
Amir wa Qatar aikosoa dunia kwa kupuuza kughusubiwa ardhi za Palestina
Mar 27, 2022 06:20Amir wa Qatar amekosoa vikali hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kusisitiza kuwa, asilimia kubwa ya jamii ya kimataifa imefumbia macho kadhia hiyo kwa miongo kadhaa sasa.
-
Hizbullah: Marekani, mchochezi wa migogoro Asia Magharibi na kote duniani
Mar 27, 2022 06:18Ofisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani inabeba dhima ya kuanzisha na kuchochea migogoro yote inayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi na maeneo mengine duniani.