-
Harakati za Palestina zalaani mkutano wa nchi nne za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 27, 2022 23:02Harakati za Palestina za Hamas na Jihadul-Islami zimelaani mkutano waliofanya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Naqab.
-
Amir wa Qatar aikosoa dunia kwa kupuuza kughusubiwa ardhi za Palestina
Mar 27, 2022 06:20Amir wa Qatar amekosoa vikali hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kusisitiza kuwa, asilimia kubwa ya jamii ya kimataifa imefumbia macho kadhia hiyo kwa miongo kadhaa sasa.
-
Hizbullah: Marekani, mchochezi wa migogoro Asia Magharibi na kote duniani
Mar 27, 2022 06:18Ofisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani inabeba dhima ya kuanzisha na kuchochea migogoro yote inayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi na maeneo mengine duniani.
-
Kuanza mwaka wa nane wa vita na kujiamini kikamilifu wananchi wa Yemen
Mar 27, 2022 03:16Jumamosi ya jana tarehe 26 Machi, 2022, vita vya kivamizi vilivyoanzishwa na Saudi Arabia na wavamizi wenzake nchini Yemen, viliingia kwenye mwaka wake wa nane. Jeshi la Yemen na vikosi vya kujihami vya wananchi wa nchi hiyo, vimeuanza mwaka huo wa nane kwa shambulio kubwa na kali dhidi ya taasisi hasasi na nyeti za Saudia ikiwemo taasisi kubwa ya mafuta ya Aramco mjini Jeddah.
-
Hizbullah: Hatutasalimu amri kwa uvamizi wa Israel
Mar 27, 2022 03:10Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo haikubali kwa gharama yoyote vitendo vya kughusubu na ukaliaji mabavu wa Israel, na wala haitasalimu amri mbele ya njama za Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje: Haijawahi kutokea mfano wa jinai za Saudia nchini Yemen
Mar 26, 2022 22:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kwa mnasaba wa kuingia mwaka wa nane wa vita vya kivamizi dhidi ya nchi yake kwamba, historia haijawahi kushuhudia mfano wa jinai za Saudi Arabia za nchini Yemen.
-
Wayemen wafanya maandamano ya kulaani uvamizi na vita dhidi ya nchi yao
Mar 26, 2022 22:01Wananchi wa Yemen katika mkoa wa Saada jana Jumamosi walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga na kulaani moto wa vita uliowashwa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo maskini kuanzia mwezi Machi 2015 na kuendelea hadi sasa.
-
Saudia yakimbilia kwa UN kuomba kukwamuliwa kutoka kwenye kinamasi cha Yemen
Mar 26, 2022 09:19Baada ya jeshi la Yemen kutoa pigo jingine kubwa la mashambulio ya makombora ndani ya ardhi ya Saudi Arabia, sasa viongozi wa ukoo wa Aal Saud wamekimbilia kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuomba kusaidiwa kutoka katika kinamasi cha Yemen walichojitumbukiza mwezi Machi, 2015.
-
Ansarullah: US, UK na Israel ndio wahandisi wa kushambuliwa Yemen
Mar 26, 2022 09:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, utawala haramu wa Israel na Uingereza ndio wahandisi wa kushambuliwa na kukaliwa kwa mabavu taifa la Yemen tokea mwaka 2015 hadi sasa.
-
Syria yaitaka UN iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake Golan
Mar 26, 2022 09:07Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo liuwajibishe na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai ulizozifanya katika Miinuko ya Golan ya Syria.