-
Syria yaitaka UN iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake Golan
Mar 26, 2022 09:07Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo liuwajibishe na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai ulizozifanya katika Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Kuendelezwa sera za Mohammad Bin Salman za kupiga vita dini nchini Saudi Arabia
Mar 26, 2022 07:19Serikali ya Saudi Arabia imepitisha uamuzi wa kupiga marufuku kurushwa hewani adhana kwenye vyombo ya habari vya nchi hiyo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Makombora ya Yemen yateketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco Jiddah, Imarati yatangaza hali ya hatari
Mar 26, 2022 03:37Wakati moto mkubwa ukiendelea kuteketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco huko Jeddah nchini Saudi Arabia, kiwango cha tahadhari kimepandishwa juu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa hofu ya operesheni za kijeshi za jeshi la Yemen na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wanaolipiza kisasi hujuma za muungano wa vita unaoongoza na Saudia.
-
Askofu Mkuu wa Palestina: Vita vya Ukraine vimefichua sera za kinafiki za nchi za Magharibi
Mar 26, 2022 02:35Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox la Palestina amesema vita vya Ukraine vimefichua sera za kinafiki na kindumakuwili za nchi za Magharibi.
-
Wazayuni walaumiwa kwa kupungua idadi ya Wakristo mjini Quds
Mar 25, 2022 21:53Viongozi wa Kikristo wameeleza hofu yao kutokana na kupungua kwa kiwango cha kushtua idadi ya Wakristo katika mji wa Quds (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Spika wa Lebanon: Iran ndio chimbuko kuu la muqawama katika eneo
Mar 25, 2022 09:53Spika wa Bunge la Lebanon ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama chanzo kikuu cha harakati za muqawama katika eneo la Asia Magharibi, zilizoipa ilhamu kambi ya muqawama kote duniani.
-
Maelfu ya wahadhiri wa vyuo vikuu na watafiti waunga mkono kususiwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 25, 2022 09:47Maelfu ya wahadhiri na watafiti wa vyuo vikuu katika nchi mbalimbali duniani wametangaza kuwaunga mkono wanachama wa Jumuiya ya Mitaala ya Mashariki ya Kati MESA kwa kupendekeza mpango wa kuususia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda mwandamizi wa Imarati auawa mjini Aden, Yemen
Mar 24, 2022 21:59Kamanda wa ngazi ya juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu ameuawa katika mripuko wa bomu mjini Aden, kusini mwa Yemen.
-
Saudia na Kuwait kuwarejesha mabalozi wao Lebanon
Mar 24, 2022 21:59Saudi Arabia na Kuwait zimeamua kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia na Beirut, ambao uliingia doa mwaka jana kufuatia matamshi ya ukosoaji aliyotoa aliyekuwa waziri wa habari wa Lebanon kuhusiana na uchokozi na uvamizi wa kijeshi wa muungano wa kivita wa unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen.
-
Aliyependekezwa na mrengo wa Sadr atangaza utayari wa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq
Mar 24, 2022 08:54Mwanasiasa aliyependekezwa na kuungwa mkono na Harakati ya Sadr kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, ametangaza kuwa yuko tayari kushika wadhifa huo.