-
Harakati ya Fat'h: Viongozi wa utawala wa Kizayuni wanapaswa kuwajibishwa kwa jinai zao
Mar 08, 2022 04:48Harakati ya Fat'h huko Palestina imeitaka jamii ya kimataifa kuwafikisha mbele ya sheria viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama za kimataifa kutokana na jinai na uhalifu unaofanyika dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina.
-
Makumi ya maafisa wa muungano wa Saudia wajiunga na jeshi la Yemen
Mar 08, 2022 04:18Makumi wa maafisa wa jeshi la muungano wa vita unaoongozwa na Saudi Arabia wamejiunga jeshi la Yemen.
-
Afisa wa Palestina: Bin Salman anauhami Uzayuni na ubeberu
Mar 07, 2022 23:49Kiongozi mmoja wa Harakati ya Wananchi kwa Ajili ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman, ni muungaji mkono wa ubeberu na Uzayuni katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Al Nujaba: Harakati za Uturuki nchini Iraq ni tishio
Mar 07, 2022 08:40Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya nchini Iraq ya al Nujaba amesema kuwa harakati za Uturuki huko Iraq ni tishio; na kwamba iwapo nchi hiyo haitaacha chokochoko zake hizo basi Wairaki wataingia katika hali ya kijeshi.
-
Wananchi wa Pakistan waandamana kulaani msimamo wa aibu wa serikali kuhusu kuuawa Mashia
Mar 07, 2022 04:37Wananchi wa Pakistan wameendelea kulaani msimamo dhaifu na wa aibu wa serikali ya nchi hiyo kuhusiana na matukio ya kuuawa kwa umati Waislamu wa Kishia nchini humo.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Mar 07, 2022 04:35Duru za Palestina zimeripoti kuwa, makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Sababu za kubadilika siasa za Imarati kutoka za mashambulizi hadi za mapatano
Mar 07, 2022 00:51Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ni katika nchi za Kiarabu ambazo zilibaki salama katika wimbi la mapinduzi ya wananchi wa nchi za Kiarabu la mwaka 2011. Jambo hilo pamoja na uwezo wa kiuchumi na kupenda makuu Mohammed bin Zayed liliifanya Imarati ifuate siasa za mashambulizi na kupenda vita kama vile kushiriki katika uvamizi wa Yemen.
-
Wanawake wa Kuwait: Sheria ya ukatili majumbani haitoi kinga kwa wanawake
Mar 07, 2022 00:49Wanaharakati wa masuala ya wanawake nchini Kuwait wanasema kuwa, kutotekelezwa sheria ya ukatili majumbani dhidi ya wanawake na kutokuweko azma ya kweli ya kuitekeleza ni mambo ambayo yameongeza vitendo vya unyanyasaji, ubakaji na ukatili dhidi ya wanawake nchini humo.
-
Hamas yapongeza oparesheni ya kujitolea mhanga kijana wa Kipalestina
Mar 07, 2022 00:48Makundi ya Palestina katika Ukanda wa Ghaza yameitaja oparesheni ya kufa shahidi iliyotekelezwa katika Msikiti wa al Aqsa kuwa ni jibu kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Waarabu na Israel ni hatari kwa Palestina
Mar 06, 2022 08:18Dawood Shahab, msemaji wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa, kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya mataifa ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi na utawala haramu wa Israel ni hatari na tishio kwa malengo matukufu ya Palestina, Waarabu na Waislamu kwa ujumla.