-
Kuwait yajiondoa kwenye kongamano Bahrain kufuatia kushiriki Israel
Mar 06, 2022 04:38Wasomi wa vyuo vikuu kutoka Kuwait wameamua kususia kongamano ambalo limeandaliwa na Chuo Kikuu cha Bahrain baada ya kubainika kuwa ujumbe kutoka utawala haramu Israel umealikwa kushiriki kikao hicho.
-
'Kauli za maafisa wa Saudia zinaonyesha wanataka kuwa na uhusiano na Iran'
Mar 06, 2022 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kauli za maafisa wa ngazi za juu wa Saudi Arabia zinaonyesha kuwa nchi hiyo ya Kiarabu inataka kuanzisha uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Yemen yalaani shambulio la kigaidi lililoua Waislamu waliokuwa wakisali Sala ya Ijumaa, Pakistan
Mar 06, 2022 00:51Wizara ya Mambo ya Nje serikali ya uwokovu wa kitaifa ya Yemen imelaani shambulio la kigaidi lililolenga Waislamu waliokuwa wakisali ndani ya msikiti mmoja wa mji wa Peshawar, kaskazini-magharibi mwa Pakistan.
-
Hizbullah: Vikwazo vya Marekani haviathiri mapambano ya Walebanon
Mar 05, 2022 10:46Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote katika mapambano ya Kiislamu au muqawama na kuongeza kuwa, Hizbullah ina njia mbalimbali za kusimama kidete na kukabiliana na mashinikizo ya maadui.
-
Wazayuni wafurahishwa na matamshi ya Bin Salman
Mar 05, 2022 04:02Matamshi ya Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu utawala wa Kizayuni wa Israel yamewafurahishwa mno Wazayuni kiasi kwamba yameakisiwa kwa wingi na vyombo mbalimbali vya habari vya Israel.
-
Ndege za kivita za Saudia zaendelea kushambulia maeneo ya Waislamu wa Yemen
Mar 04, 2022 23:27Vyombo vya habari vimeripoti kuwa ndege za kivita za muungano vamizi wa Saudia huko Yemen jana ziliendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya raia Waislamu katika mikoa tofauti ya Yemen.
-
Magaidi wanne wakufurishaji watiwa nguvuni mkoani al Anbar, Iraq
Mar 04, 2022 23:25Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia nguvuni magaidi wanne wakufurishaji wa genge la Daesh (ISIS) katika operesheni waliyofanya katika mkoa wa al Anbar wa magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mfalme wa Bahrain atembelea Saudia mkesha wa mwaka wa 11 wa kampeni ya kijeshi
Mar 04, 2022 23:14Katika hali ambayo siku 10 zijazo itatimia miaka 10 tokea utawala wa Saudi Arabia utume wanajeshi wake Bahrain katika kampeni ya kukandamiza wananchi, mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa Aal Khalifa ametembelea Saudia na kufanya mazungumzo na watawala wa Riyadh.
-
110 wauawa, kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Msikitini Pakistan
Mar 04, 2022 08:51Waislamu wasiopungua 45 wameuawa shahidi leo wakati wa Swala ya Ijumaa katika shambulizi la kigaidi lililofanyika ndani ya msikiti mmoja ulioko katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
-
Bin Salman: Tuna matumaini ya kuendelezwa mazungumzo na Iran
Mar 04, 2022 04:47Mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameeleza matumaini kuwa mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia yatafikia hatua ambayo itakuwa nzuri kwa pande zote mbili na kutengeneza mustakabali mzuri kwa nchi zote mbili.