-
HAMAS: Israel inacheza na moto kwa kuwakandamiza mateka Wapalestina
Mar 03, 2022 23:12Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetahadharisha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unacheza na moto kwa kuzidisha mbinyo na ukandamizaji dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela na magereza ya utawala huo pandikizi.
-
Sisitizo la serikali ya Taliban la kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa zamani wa Afghanistan
Mar 03, 2022 07:49Rais wa serikali ya mpito ya Afghanistan ametoa wito wa kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa serikali ya zamani ya nchi hiyo.
-
HAMAS: Njama za utawala wa Kizayuni za kubadilisha utambulisho wa Quds zitashindwa tu
Mar 03, 2022 04:01Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, njama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuubadilisha utambulisho wa Quds tukufu unayoikalia kwa mabavu zitashindwa tu.
-
Jihadul-Islami yasisitiza udharura wa umoja wa Waislamu katika kuunga mkono Wapalestina
Mar 02, 2022 20:45Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema umoja wa Waislamu ni siri ya ushindi wa Wapalestina na Waislamu kwa ujumla na kuongeza kuwa ukombozi wa Quds (Jerusalem) na ardhi zote za Palestina ni mihimili ya mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Feisal Miqdad: NATO imevuruga uthabiti wa dunia
Mar 02, 2022 20:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema Russia ina haki ya kuchukua hatua za kukabiliana na sera za NATO kujipenyeza ukanda wa mashariki na kuongeza kuwa, NATO sasa imegeuka kuwa hatari kwa dunia. Amesema majeshi ya Russia na Syria yanakabiliwa na tishio la NATO.
-
Kukosoa Syria na Iran vikao vya Baraza la Usalama kuhusu faili la silaha za kemikali la Damascus
Mar 02, 2022 20:29Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na faili la silaha za kemikali la Syria kilifanyika hivi karibuni na kukabiliwa na ukosoaji mkubwa wa wawakilishi wa Syria na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na utendaji wa kindumakuwili katika vikao hivyo.
-
Wapalestina zaidi ya 190 wametiwa nguvuni na askari wa Israel katika muda wa mwezi mmoja
Mar 02, 2022 10:26Jumuiya ya Ulaya ya kutetea na kuunga mkono Quds tukufu (Jerusalem) imetangaza kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia mji huo wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na kuwatia nguvuni Wapalestina zaidi ya 190 wakazi wa mji huo.
-
Sana'a: Inaaibisha mvamizi kupendekeza azimio la vikwazo dhidi ya Yemen
Mar 02, 2022 10:06Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesema, ni aibu na kichekesho kuona mmoja wa wavamizi ndiye aliyependekeza azimio la vikwazo vipya dhidi ya nchi hiyo.
-
Muungano vamizi wa Saudia waendelea kuua Waislamu wasio na hatia Yemen
Mar 02, 2022 03:51Jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zinaendelea dhidi ya Waislamu wa Yemen wakati huu dunia ikielekeza jicho lake katika mgogoro wa Ukraine.
-
HAMAS: Damu za mashahidi wa Jenin hazitoachwa zimwagike bure
Mar 02, 2022 03:49Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, damu za mashahidi wa kambi ya wakimbizi ya Jenin hazitoachwa kumwagika bure na zitalifanya taifa la Palestina lishikamane zaidi ya muqawama.