-
Vikosi vya kimataifa na kuendelea kuwepo Imarati nchini Yemen
Mar 01, 2022 22:51Kwa mara nyingine tena Imarati imeimarisha uwepo wake wa kijeshi usio wa moja kwa moja nchini Yemen kupitia mfumo wa vikosi vya kimataifa.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani ndiyo inayobeba dhima ya matukio yanayojiri Ukraine
Mar 01, 2022 09:34Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ametoa hotuba muhimu katika ufunguzi wa kongamano linalofanyika mjini Beirut kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa 30 tangu alipouawa shahidi Katibu Mkuu wa Pili wa Hizbullah, Sayyid Abbas al-Musawi.
-
Askari wa Israel washambulia Wapalestina katika sherehe za Isra na Mi’raj
Mar 01, 2022 07:54Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamekusanyika katika mji wa Quds (Jerusalem) kwa ajili ya sherehe ya Kiislamu ya Isra na Mi’raj.
-
Ziyad al-Nakhala: Muqwawama umeimarika zaidi kuliko wakati wowote ule
Mar 01, 2022 04:43Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa, muqawama umepata nguvu na kuuimarika kuliko wakati wowote ule huuu adui akidhoofika kuliko kipindi chochote.
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kivita ya Saudia iliyoundwa Marekani
Feb 28, 2022 23:58Jeshi la Yemen limetangaza kutungua ndege ya kivita isiyo na rubani au drone ya muungano vamizi wa Saudia Arabia iliyoundwa Marekani aina ya ScanEagle ambayo ilikuwa inaruka katika mkoa wa Hajjah kaskazini mwa Yemen.
-
Kukiri Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia juu ya kushindwa nchi yake katika vita huko Yemen
Feb 28, 2022 23:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema kuwa, nchi yake ilikuwa na matarajio kwamba, vita vyake dhidi ya Yemen visingechukua muda mrefu kiasi hiki, lakini sasa vimedumu muda mrefu kinyume kabisa na matarajio ya utawala wa Aal Saud.
-
Syria yalaani propaganda za nchi za Magharibi dhidi ya Russia
Feb 28, 2022 23:57Syria imelaani vikali propaganda za nchi za Magharibi, hasa Marekani dhidi ya Russia na kusema zinapotosha ukweli, zinakuza mambo kupita kiasi na zinachochea mgogoro kwa ajili ya kuendeleza satwa yao ya kibeberu duniani.
-
Mwanaharakati wa Saudia: Sina amani, naandamwa na makachero wa Bin Salman
Feb 28, 2022 09:44Wakati vyombo vya habari vya Saudia na makampuni ya mahusiano ya umma katika nchi za Magharibi, yaliajiriwa na serikali ya Riyadh yakiendelea kusafisha na kupendezesha sura ya mrithi wa ufalme wa Saudia, Mohammed bin Salman, iliyochafuliwa na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi, mwanaharakati wa Kisaudia Alya Alhwaiti anayeishi London, amelipua bomu baada ya kufichua kwamba alipokea vitisho vya kuuawa.
-
Hamas: Msikiti wa Al-Aqsa ndio msingi wa vita vyetu na adui Mzayuni
Feb 28, 2022 07:44Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, Msikiti wa Al-Aqswa ndio msingi wa mapambano ya wananchi wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoikalia Quds kwa mabavu.
-
Jeshi la Yemen ladhibiti eneo la kimkakati kusini magharibi mwa Ma'rib
Feb 28, 2022 04:15Vikosi vya jeshi la Yemen limefanya oparesheni katika mkoa wa Ma'rib na kufanikiwa kulidhibiti eneo la kistratejia katika mkoa huo.