-
Kongresi ya Taifa ya Yemen: Uhusiano na Ansarullah ni muhimu na wa kimkakati
Feb 06, 2022 23:26Kongresi ya Taifa ya Yemen imesema kuwa upo uhusiano imara kati ya viongozi wa chama hicho na harakati ya Ansarullah na kwamba propaganda na hujuma za vyombo vya habari za mamluki adui na wanaofanya khiyana haziathiri kivyovyote uhusinao wao huo.
-
UAE inaiba nishati ya Yemen ili ipate fedha za kulipia silaha za Ufaransa
Feb 06, 2022 23:11Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kuiba rasilimali za nishati ya Yemen ili upate fedha za kufadhili makubaliano ya mauzo ya silaha ya mabilioni ya dola uliofunga na Ufaransa.
-
Mzingiro wa Saudia huenda ukaua maelfu ya watoto wenye saratani Yemen
Feb 06, 2022 08:59Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imesema maelfu ya watoto wa nchi hiyo wanaogua saratani wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na taathira hasi za mzingiro wa Saudi Arabia uliowekwa tangu mwaka 2015.
-
UN: Imarati inasaidia magenge ya watu wenye silaha magharibi mwa Sudan
Feb 06, 2022 01:11Umoja wa Mataifa umetoa ripoti yake maalumu na kusema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu unayasadia magenge yenye silaha katika jimboi la Darfur la magharibi mwa Sudan.
-
San'aa: UAE isubiri jibu chungu na la kuumiza
Feb 05, 2022 10:44Mjumbe wa timu ya mazungumzo ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unapaswa kusubiri jibu chungu na la kuumiza, na kwamba ni jambo la kawaida kujibu vitisho.
-
Wapalestina 40,000 washiriki Sala ya Ijumaa Msikiti wa Al Aqsa
Feb 05, 2022 04:05Wapalestina wasiopungua 40,000 wameshiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Hatua mpya ya Biden ya kuibua mvutano Ulaya Mashariki
Feb 05, 2022 01:14Rais Joe Biden wa Marekani Jumatano alikubali kupeleka wanajeshi 3,000 huko Ulaya Mashariki na Ujerumani. Wanajeshi 1,700 wa Marekani wanatarajiwa kutumwa Poland na wanajeshi wengine 1,000 wa Marekani walioko Ujerumani kutumwa Romania. Wanajeshi 3000 zaidi watatumwa kutoka Marekani kwenda Ujerumani.
-
Watu wa Bahrain waandamana kulaani safari ya waziri wa vita wa Israel nchini humo
Feb 05, 2022 01:04Wananchi waliokuwa na hasira nchini Bahrain wameandamana katika maeneo mbali mbali ya nchi hiyo kwa lengo la kulaani hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kumkaribisha na kumpokea waziri wa vita wa utawala haramu wa Israel.
-
Spika Nabih Berri: Silaha za muqawama zina udharura kwa Lebanon
Feb 04, 2022 04:40Spika wa Bunge la Lebanon amesema, muqawama na silaha za muqwama ni hitajio la kitaifa kwa ajili ya kuzuia uchu na tamaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Saudia kufuta jina la Allah na la Mtume katika bendera ya taifa
Feb 03, 2022 23:07Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme nchini Saudia ambaye kimsingi ndiye kiongozi wa nchi hiyo ameendelea kufanya mageuzi nchini humo ambapo sasa bendera na wimbo wa taifa kufanyiwa marekebisho.