-
HAMAS yaulaani utawala wa Bahrain kwa kumkarabisha nchini humo Waziri wa Vita wa Israel
Feb 03, 2022 23:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikali hatua ya utawala wa Bahrain ya kumkaribisha nchini humo Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Kupinga Taliban kuhusu hali ya wananchi wa Afghanistan
Feb 03, 2022 23:05Kundi la Taliban limepinga pakubwa ripoti mbalimbali zilizotolewa kuhusu hali ya mambo inayowakabili wananchi wa Afghanistan na halipo tayari kukubali uhakika wa mambo wa jamii ya nchi hiyo hasa baada ya kundi hilo kuchukua madaraka huko Afghanistan.
-
Marekani yaua watoto, wanawake katika operesheni ya kijeshi Syria
Feb 03, 2022 09:18Kwa akali raia 13 wakiwemo watoto saba na wanawake watatu wameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Bin Salman aanzisha mradi wa ujasusi akishirikiana na Israel
Feb 03, 2022 04:47Duru za habari zimetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia meanzisha mradi mkubwa zaidi wa ujasusi na kunasa sauti na mazungumzo simu za mkononi kwa ushirikiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Khazali: Wanamuqawama wa Iraq watajibu uchokozi mpya wa Uturuki
Feb 02, 2022 23:00Katibu Mkuu wa harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ambalo ni tawi la muungano wa makundi ya muqawama wa Hashd al-Sha’abi nchini Iraq amesisitiza kuwa, mrengo wa mapambano ya Kiislamu utatoa jibu mwafaka kwa uvamizi na chokochoko mpya za jeshi la Uturuki dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Marekani na Isreal; wachezaji wanaonufaika zaidi na vita vya Yemen
Feb 02, 2022 22:59Akizungumza siku ya Jumanne katika kikao na jumbe mbili za makabila ya eneo la al-Jauf na Maarib ya nchini Yemen, Abdulmalik al-Huthi, Kiongozi cha harakati ya Ansarullah amesema Wamarekai na Waisraeli ni maadui wakuu wa Waislamu na kwamba wanajaribu kunufaika na matatizo yaliyoko katika Umma wa Kiislamu ili kufikia malengo yao haramu katika eneo.
-
Saudia yamkamata mwakilishi wa Waislamu Warohingya katika OIC
Feb 02, 2022 08:46Utawala wa Saudia umemkamata mwakilishi rasmi wa Waislamu Warohingya katika Jumuya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) katika mji mtakatifu wa Makka.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Marekani, Israel ni maadui halisi wa Waislamu
Feb 02, 2022 08:35Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani na utawala haramu wa Israel ni maadui nambari moja wa Waislamu duniani.
-
Amnesty International: Israel ni utawala wa ubaguzi wa rangi
Feb 02, 2022 08:00Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutuhumu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa baguzi wa rangi wa apartheid. Amnesty Internation inakuwa taasisi ya karibuni zaidi ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu kuitangaza Israel kuwa ni utawala wa apartheid.
-
Watu wanane wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki kaskazini mwa Iraq
Feb 02, 2022 04:27Vyombo vya habari vimetangaza kuwa watu wasiopungua wanane wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika mji wa Sinjar kaskazini mwa Iraq.