-
Saudi Arabia na kuwa kwake pamoja na utawala haramu wa Israel dhidi ya HAMAS
Aug 10, 2021 03:12Katika kuendeleza siasa za chuki za utawala vamizi wa Saudi Arabia, Mahakama ya Riyadh Jumapili ya juzi ilitoa hukumu zisizo za kiadilifu dhidi ya baadhi ya wanachama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Ripoti: Iraq inapanga mkutano wa Iran na Saudi Arabia mjini Baghdad
Aug 10, 2021 03:06Duru za habari zinadokeza kuwa maafisa wa serikali ya Iraq wanaandaa mkutano baina ya maafisa wa Iran na Saudi Arabia pembizoni nwa Kongamano la Baghdad la Usalama wa Kieneo.
-
Wanajeshi wa Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria
Aug 10, 2021 03:03Wanajeshi vamizi wa Marekani wanaendelea kupora mafuta ghafi ya petroli katika maeneo wanayoyakalia kwa mabavu nchini Syria.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Saudia imeivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah kwa kuzuia kufanyika Hija
Aug 09, 2021 22:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa hatua ya utawala wa Aal Saud ya kuzuia kufanyika ibada tukufu ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kisingizio cha corona ni kuivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah.
-
Ismail Haniya: Iran ndiyo roho ya kambi ya muqawama
Aug 09, 2021 03:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo roho na moyo wa mrengo wa muqawama wa Kiislamu.
-
Kuendelea ukiukaji wa haki za binadamu Bahrain katika kivuli cha kimya angamizi cha kimataifa
Aug 08, 2021 21:54Miaka 10 imepita tokea kuanza harakati za mapinduzi ya watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa, harakati ambazo zilizimwa kwa muda na kwa mkono wa chuma wa msaada wa kijeshi wa utawala mwingine kandamizi wa Aal Saud nchini Saudia, msaada ambao hatimaye umepelekea watu wa nchi hiyo kukandamizwa, kuteswa na kuuawa kinyama.
-
Hamas na Jihad Islami: Hukumu za Saudia dhidi ya wafungwa wa Palestina ni za kisasa na kinyume cha sheria
Aug 08, 2021 21:53Wawakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati ya Jihadi Islami wamezitaja hukumu zilizotolewa dhidi ya mahabusu wa Kipalestina nchini Saudi Arabia kuwa hazikubaliki.
-
Kundi la Taliban lateka maeneo zaidi Afghanistan
Aug 08, 2021 06:55Kundi la Taliban nchini Afghanistan limendelea kupambana na jeshi la serikali katika mikoa mitatu ya kaskazini mwa nchi hiyo ya Kunduz, Sar-e-Pul na Jawzjan huku taarifa zikisema raia wameuawa katika mapigano hayo.
-
Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33
Aug 08, 2021 06:09Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jioni ya Jumamosi ya jana alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 15 tangu baada ya vita vya siku 33 na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Nasrullah: Hizbullah imejiandaa kutoa jibu zito kwa uchokozi wa Israel
Aug 08, 2021 03:24Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama haitaki vita, lakini pia haigopi vita kwa kuwa ina uhakika wa kuibuka mshindi iwapo vitaibuka.