-
Wanasoka Waislamu waungana na walimwengu kulaani jinai za Israel huko Palestina
May 12, 2021 06:53Jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Baytul-Muqaddas Palestina zimeendelea kulaaniwa kila kona ya dunia ambapo mara hii wanasoka mashuhuri duniani wamejitokeza na kulaani jinai hizo.
-
Israel yakataa pendekezo la UN la kusitisha mashambulizi dhidi ya Wapalestina
May 12, 2021 06:01Duru za Palestina zimeripoti kuwa, utawala haramu wa Israel umekataa pendekezo la mjumbe wa Umoja wa Mataifa la kusitisha mashambulizi mara moja dhidi ya watu wa Palestina.
-
Zarif: Utawala wa Kizayuni umekithirisha jinai
May 12, 2021 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umekithirisha jinai zake.
-
Ayatullah Sistani ataka mataifa huru duniani yaunge mkono taifa la Palestina
May 12, 2021 03:13Marjaa mkuu wa Kishia nchini Iraq kwa mara nyingine tena ametangaza uungaji mkono wake kwa 'mapambano ya kishujaa ya taifa lenye heshima la Palestina' katika kukabiliana na Wazayuni maghasibu na kutoa wito kwa mataifa yote huru duniani kuwaunga mkono Wapalestina.
-
Kikao kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Quds sanjari na ukwamishaji mambo wa Marekani
May 11, 2021 09:47Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya mambo huko Quds Palestina kilifanyika Jumatatu ya jana tarehe 10 Mei na kumalizika bila ya natija yoyote.
-
Wanamuqawama wa Palestina wafanya shambulio kubwa sana la maroketi dhidi ya vitongoji vya Wazayuni
May 11, 2021 07:46Duru za Palestina zimeripoti kuwa wanamapambano wa makundi ya muqawama wamefanya mashambulio makubwa ya maroketi dhidi ya vitongoji ya walowezi wa Kizayuni vya Ashdod na Asghalan kaskazini ya Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina wa Quds wawashukuru wenzao wa Ghaza kwa kuwapiga wanajeshi Wazayuni kwa makombora
May 11, 2021 03:12Wapalestina wa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni wamefanya maandamano ya kutangaza kufurahishwa kwao na Wapalestina wenzao wa Ghaza kwa kuguswa na hali yao na kujibu jinai za Wazayuni huko Quds kwa kushambulia kwa makombora maeneo ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni.
-
Malengo ya Israel ya kufanya luteka ya kijeshi ya mwezi mzima
May 10, 2021 22:22Tangu juzi Jumapili tarehe 9 Mei, jeshi la utawala wa Kizayuni limeanzisha luteka na mazoezi maalumu ya kijeshi yatakayodumu kwa muda wa mwezi mmoja.
-
Hamas: Kuichezea Quds ni moto utakaowachoma viongozi wa Israel
May 10, 2021 06:37Naibu Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unacheza na moto kwa kuendelea kuhujumu Baitul Muqaddas na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Mataifa ya Kiafrika yalaani uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Masjidul-Aqswa
May 10, 2021 03:19Mataifa ya Kiislamu barani Afrika yametoa taarifa ya kulaani hujuma na uvamizi wa jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.