-
Marekani kuondoa wanajeshi wake Iraq kufikia mwisho wa Septemba
Aug 19, 2025 22:56Wairaqi kutoka makundi na mirengo mbalimbali wamekuwa wakingoja kwa hamu kuondoka kikamilifu kwa majeshi ya Marekani nchini humo na sasa imebainika kuwa wataondoka mwisho wa Septemba.
-
Hamas yapasisha pendekezo la Qatar na Misri la kuhitimisha vita vya Israel dhidi ya Gaza
Aug 19, 2025 08:06Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuwa imepasisha pendekezo jipya la Qatar na Misri la kuhitimisha vita vya mauaji ya kimbari vya Israel katika Ukanda wa Gaza
-
Ripoti: Israel imepatwa na mshtuko wa kiuchumi wa vita na Iran
Aug 19, 2025 08:04Ripoti ya vyombo vya habari vya Israel imefichua changamoto zinazoukabili utawala huo baada ya vita vya siku 12 na Iran mwezi Juni mwaka huu,na kubainisha kuwa uchumi wa Israel umedorora sana, na kushuka kwa viashiria vya jumla, ikiwa ni pamoja na kupungua kwa pato la taifa (GDP), uwezo wa manunuzi na uwekezaji.
-
Utapiamlo, si Leukemia: Madaktari wa Italia wapinga madai ya Israeli kuhusu kifo cha mwanamke Mpalestina
Aug 19, 2025 08:04Madaktari wa Italia wamehoji madai yaliyotolewa na utawala wa Israel kwamba mwanamke Mpalestina ameaga dunia kwa ugonjwa wa Leukemia; na badala yake wamesema mwanamke huyo Mpalestina amepoteza maisha kutokana na utapiamlo mkali baada ya kuwasili Italia akitokea Gaza.
-
Kwa nini maandamano yameshadidisha hali mbaya ya mgogoro Israel?
Aug 19, 2025 06:56Mgogoro wa hivi sasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kushadidi maandamano yanaashiria kudhoofika muundo wa kisiasa na kiusalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ripota wa UN: HAMAS ni taasisi ya kisiasa iliyochaguliwa kupitia uchaguzi, si genge la wauaji
Aug 19, 2025 03:05Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, amesisitiza kwamba Hamas inapasa itambuliwe kama harakati halali ya kisiasa badala ya kundi la wauaji.
-
Balozi wa US Israel: Marekani haipingi Israel kufanya upanuzi "mkubwa" wa vitongoji Ukingo wa Magharibi
Aug 19, 2025 02:41Balozi wa Marekani katika utawala wa kizayuni wa Israel Mike Huckabee ameiambia Redio ya Jeshi la Israel kwamba upanuzi "mkubwa" wa vitongoji katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu si ukiukaji wa sheria za kimataifa na Marekani haitalipinga suala hilo.
-
Wachambuzi: Hamas yamuweka Netanyahu katika wakati mgumu, Israel lazima ikubali pendekezo jipya
Aug 19, 2025 00:16Usitishaji vita wa muda katika Ukanda wa Gaza unaonekana kukaribia baada ya makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina kukubaliana na pendekezo jipya lililowasilishwa na wapatanishi na kuungwa mkono na Marekani. Walakini, pendekezo hilo linasubiri kuidhinishwa na utawala ghasibu wa Israel.
-
Amnesty International: Israel inatekeleza sera ya "njaa ya makusudi" dhidi ya watu wa Gaza
Aug 18, 2025 23:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali sera ya utawala dhalimu wa Israel ya kuwaua kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
WFP: Watu nusu milioni wako kwenye ukingo wa njaa Gaza
Aug 18, 2025 07:07Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, watu nusu milioni wako kwenye ukingo wa njaa katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.