-
Bin Salman atoa amri ami yake ambaye pia ni mkwewe afungwe kifungo cha nyumbani
Mar 10, 2021 21:19Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia ametoa amri ya kufungwa kifungo cha nyumbani ami yake ambaye pia ni mkwewe ikiwa ni muendelezo wa kamatakamata ya mwanasiasa huyo kijana dhidi ya kila anayeonekana kuwa tishio dhidi yake.
-
Wanajeshi wa Israel wamkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa
Mar 10, 2021 08:55Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Ansarullah: Makombora yetu ni jinamizi kwa wavamizi wa Yemen
Mar 10, 2021 03:45Mjumbe mmoja wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, makombora ya balestiki ya nchi hiyo ni jinamizi kwa maadui.
-
Iraq: Hatuna nia kabisa ya kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Mar 10, 2021 03:41Ikulu ya Iraq imetoa tamko rasmi la kukanusha madai ya chombo kimoja cha habari cha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kilichodai kuwa Baghdad iko tayari kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Chinjachinja wa Daesh atiwa mbaroni huko Talafar, Iraq
Mar 09, 2021 23:18Idara ya Intelijinisia ya jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kinara mashuhuri wa magaidiwa kundi la kitakfiri la Daesh anayefahamika kwa jina la Cihnjachinja huko Talafar nchini humo.
-
Nukta kadhaa kuhusu safari ya Papa Francis huko Iraq
Mar 09, 2021 22:49Safari ya siku tatu ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani huko Iraq ambayo ilianza Ijumaa iliyopita imemalizika.
-
Magaidi washambulia wafanyaziara wa Imam Kadhim AS katika eneo la Al Kadhimiya, Iraq
Mar 09, 2021 04:29Magaidi wameshambulia msafara wa wafanyaziara wa Imam Kadhim AS, Imam wa Saba wa Mashia katika eneo la Al Kadhimiya katika mkoa wa Baghdad nchini Iraq.
-
Al Houthi: Saudia itaangamia ikiendelea kuishambulia Yemen
Mar 09, 2021 04:26Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mapinduzi Yemen amesisitiza kuwa iwapo Saudi Arabia itaendeleza hujuma yake dhidi ya Yemen, uvamizi huo utapelekea kuangamia ufalme wa Saudia.
-
Iraq yasisitiza kufanyika mazungumzo ya kitaifa na ushirikiano wa kieneo
Mar 09, 2021 01:23Waziri Mkuu wa Iraq amewasilisha miito na mpango kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa na kushirikiana nchi za eneo ili kuimarisha amani na maelewano.
-
Waziri wa Habari wa Yemen: Tuna uwezo wa kupiga popote pale Saudia
Mar 09, 2021 01:15Waziri wa Habari wa Yemen amesisitiza kuwa, shambulio la vikosi vya ulinzi vya Yemen dhidi ya Taasisi za Mafuta za Shirika la Aramco la Saudi Arabia ni ujumbe wa wazi kwamba vikosi vya Yemen vina uwezo wa kupiga eneo lolote lile ndani ya ardhi ya Saudi Arabia.