-
Abdulsalam: Martin Griffiths ni Muingereza katika joho la Umoja wa Mataifa
Feb 10, 2021 04:18Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro wa Yemen, Martin Griffiths, ni Muingereza aliyevaa joho la Umoja wa Mataifa.
-
EU yapinga bomoabomoa ya nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na Israel
Feb 10, 2021 03:33Msemaji wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) ametoa taarifa akipinga vikali operesheni ya kuboa nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Al Houthi: Kurejea amani Yemen kunahitaji kusitishwa uvamizi dhidi ya nchi hiyo
Feb 09, 2021 00:40Mkuu wa Kamati Kuu ya Yemen amesisitiza kuwa kupatikana amani huko Yemen kunahitajia kutangazwa kusitishwa uvamizi na kuondolewa mzingiro uliowekewa nchi hiyo ya Kiarabu na pande nne vamizi.
-
Tishio la kurejea upya kundi la Daesh huko Iraq
Feb 08, 2021 22:58Harakati za kundi la Daesh na pia mapigano kati ya kundi la Hashdu Shaabi la Iraq na masalia ya kundi hilo la kigaidi yameongezeka nchini humo katika miezi ya karibuni.
-
Netanyahu kizimbani kujibu mashitaka ya ufisadi, maandamano yashtadi
Feb 08, 2021 08:34Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amepandishwa kizimbani, kujibu mashitaka ya ufisadi yanayomkabili, huku faili lake likifunguliwa upya wiki chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Bunge.
-
Uamuzi wa ICC; ushindi kwa Wapalestina
Feb 07, 2021 23:22Kufuatia ombi la Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguza jinai za utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya taifa la Palestina, majaji wa mahakama hiyo wametoa uamuzi wakisema kuwa mahakama hiyo inafaa kisheria kuchunguza jinai za kivita katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Makundi 14 ya Palestina yaelekea Cairo kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa
Feb 07, 2021 23:14Duru za habari zimearifu kuwa jumbe za makundi 14 ya Palestina zimeelekea Cairo nchini Misri kushiriki katika vikao vya mazungumzo ya kitaifa ya Palestina.
-
Umoja wa Mataifa: Imarati ina mawasiliano ya moja kwa moja na mamluki wa Kisudan huko Libya
Feb 07, 2021 08:23Ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa, nchi ya Imarati ingali inaendelea kuwasajili mamluki ya Kisudan na kuwapeleka Libya kwa ajili ya kumuunga mkono jenerali muasi Khalifa Haftar.
-
Imarati, Bahrain zawakatia Wapalestina misaada baada ya kuikumbatia Israel
Feb 07, 2021 04:18Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain zimepunguza kwa kiasi kikubwa misaada yao ya kifedha iliyokuwa ikiwapa wananchi wa Palestina, baada ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas, Arab League zakaribisha uamuzi wa ICC dhidi ya Israel
Feb 07, 2021 03:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza hukumu ya hivi karibuni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC yenye maslahi kwa wananchi wa Palestina na iliyoughadhabisha mno utawala wa Kizayuni wa Israel.