-
Mbunge: Marekani inaunga mkono magaidi katika nchi za Syria na Iraq
Feb 06, 2021 23:12Mbunge mmoja wa Syria amesema kuwa serikali ya Marekani inahusika katika ongezeko la hujuma za kigaidi nchini Syria na Iraq.
-
Kuuliwa Luqman Salim sambamba na mafanikio ya kijeshi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon
Feb 06, 2021 09:43Luqman Salim mwanaharakati wa kisiasa na mwandishi wa Lebanon aliuawa Alhamisi katika mji wa Nabatiyah ambao wakazi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko kusini mwa Lebanon.
-
Netanyahu aahidi kuteua waziri wa kwanza Mwislamu katika serikali ya Israel, iwapo atashinda
Feb 06, 2021 08:34Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameahidi kuwa iwapo atashinda uchaguzi ujao huko Israel atateua waziri wa kwanza Mwarabu na Mwislamu katika serikali ya utawala huo.
-
Netanyahu ahamakishwa na hukumu ya mahakama ya ICC
Feb 06, 2021 04:07Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameshindwa kuficha hamaki zake baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa hukumu kwa manufaa ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
HAMAS: Uamuzi wa Kongresi ya Marekani wa kubakisha ubalozi wake Quds ni uadui kwa haki zetu
Feb 06, 2021 03:49Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, uamuzi wa Baraza la Kongresi la Marekani wa kubakisha ubalozi wa nchi hiyo katika mji wa Quds ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Sheikh Naeem Qassim: Mazungumzo na Marekani hayana maana
Feb 06, 2021 01:21Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema mazungumzo na serikali ya Marekani hayana maana.
-
Madai ya Marekani kuhusu kusitisha himaya yake katika vita dhidi ya Yemen
Feb 05, 2021 23:04Marekani na baadhi ya waitifaki wake wa Ulaya wamekuwa na nafasi kubwa katika kudumisha vita vya Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen vilivyoanza mwezi Machi mwaka 2015. Tangu wakati huo Marekani na waitifaki wake wamekuwa wakiisaidia Saudia na washirika wake kwa misaada ya aina mbalimbali ya silaha, upelelezi na misaada ya kilojistiki. Sasa serikali ya Washington inadai kuwa, inasitisha misaada hiyo.
-
Hizbullah yalaani mauaji ya mkosoaji wa harakati hiyo ya Lebanon
Feb 05, 2021 08:44Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya mwanaharakati wa kisiasa na mtafiti wa nchi hiyo ya Kiarabu, Lokman Slim aliyeuawa katika mazingira ya kutatanisha.
-
HAMAS yatoa onyo dhidi ya uingiliaji wowote wa kuvuruga uchaguzi wa Palestina
Feb 05, 2021 04:03Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo dhidi ya hatua yoyote ya kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi ujao wa Palestina.
-
Ansarullah: Wayemen hawahadaiki kwa maneno ya Biden
Feb 05, 2021 03:49Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen na msemaji wa harakati ya Ansarullah wamesema kuhusu madai ya Marekani ya kusitisha uungaji mkono wake kwa vita dhidi ya nchi hiyo kwamba, Wayemen hawahadaiki kwa maneno hayo.