-
Katibu Mkuu wa UN: Israel isimamishe haraka ujenzi wa vitongoji
Feb 05, 2021 00:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kusimamisha haraka ujenzi wa vitongoji.
-
Misafara 2 ya kijeshi ya Marekani yashambuliwa nchini Iraq
Feb 04, 2021 23:21Duru za kiusalama zimeripoti habari ya kushambuliwa misafara miwili ya kilojistiki ya jeshi vamizi la Marekani katikati na kusini mwa Iraq.
-
Al Barghouthi: Uchaguzi ni utangulizi wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina
Feb 04, 2021 00:56Katibu Mkuu wa Vuguvugu la Ubunifu wa Kitaifa la Palestina amesisitiza kuwa uchaguzi ni utangulizi wa kuhitimishwa mpasuko na mgawanyiko na kufikiwa umoja wa kitaifa wa Palestina.
-
Kamati ya Katiba ya Syria yamaliza kikao chake cha tano bila mafanikio
Feb 03, 2021 05:05Kikao cha Tano cha Kamati ya Kuandika Katiba ya Syria kimemalizika baada ya kufanyika kwa muda wa siku tano bila kufikia natija yoyote ya maana huko Geneva, Uswisi.
-
"Siri ya muqawama wa miaka 6 ya wananchi wa Yemen ni kushikamana vilivyo na Uislamu"
Feb 03, 2021 04:35Katibu Mkuu wa harakati ya Answarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, kushikamana vilivyo na Uislamu ndiyo siri iliyolifanya taifa la Yemen kusimama kidete kukabiliana na mashambulizi ya kila upande na makubwa; ya miaka sita sasa kutoka kwa wavamizi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Vijana wa Palestina watakiwa kusimama imara kukilinda Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Feb 03, 2021 04:34Makundi mbalimbali ya mapambano ya Palestina yametoa tamko la pamoja yakiwataka vijana wa taifa hilo kusimama imara kukilinda Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa.
-
Wazayuni wamezuia adhana mara kadhaa katika Msikiti wa Nabii Ibrahim AS
Feb 02, 2021 22:58Wakuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wanazuia adhana kuadhiniwa katika Msikiti wa Nabii Ibrahim, Amani iwe juu yake, ulioko katika mji wa Al Khalil au Hebron huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Polisi wa utawala wa Kizayuni wawaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina
Feb 02, 2021 04:02Polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina baada ya kuvamia eneo moja katika mji Tamra kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Marekani yaingiza shehena ya zana za kijeshi mashariki mwa Syria
Feb 01, 2021 23:30Duru mbalimbali za habari zimearifu kuwa, silaha na zana za kilojistiki za wanajaeshi magaidi wa Marekani zimeonekana zikiingizwa katika maidani ya mafuta huko Koniko kaskazini mashariki mwa Deir Zor.
-
Maandamano yaendelea ndani ya Israel; Netanyahu ayafumbia macho na kuendeleza siasa za chuki dhidi ya Iran
Feb 01, 2021 23:28Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel wamefanya maandamano kwa wiki ya 32 mfululizo dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni.