-
Trump azikosoa Saudi Arabia na Russia kwa kuvuruga soko la mafuta
Mar 31, 2020 02:29Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kuzikosoa Saudi Arabia na Russia kutokana na kuvuruga soko la mafuta, amesema kuwa Riyadh na Moscow zimepatwa na wendawazimu katika suala hilo.
-
Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni awekwa karantini
Mar 31, 2020 02:01Ofisi ya Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, Benjamin Netanyahu na wasaidizi wake kadhaa, wamewekwa karantini ya nyumbani.
-
Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq yaitahadharisha Marekani juu ya hatua yoyote ya uvamizi nchini humo
Mar 31, 2020 01:46Harakati ya Al-Nujabaa ya nchini Iraq, imeitahadharisha Marekani kuhusu uvamizi wowote tarajiwa ndani ya ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Bashar Jaafari: Uturuki inatumia maji kama silaha dhidi ya raia wa Syria
Mar 30, 2020 23:45Bashar Jaafari, Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, serikali ya Ankara na makundi ya kigaidi yenye mfungamano na Uturuki, inatumia maji kama silaha ya kivita dhidi ya raia katika jimbo la Al-Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
HAMAS: Njia pekee ya kuzikomboa ardhi za Palestina ni mapambano
Mar 30, 2020 23:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesisitiza tena kwamba, njia pekee ya kuzikomboa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu ni mapambano.
-
Kuondoka askari wa Marekani katika kambi tatu za jeshi nchini Iraq, ni stratijia au taktiki?
Mar 30, 2020 23:16Wanajeshi wa Marekani wameondoka katika kambi ya K1 huko kaskazini mwa Iraq. Maudhui ya kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Iraq imekuwa suala na mjadala muhimu katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka huu wa 2020.
-
Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria
Mar 30, 2020 23:15Katika hali ambayo dunia imehamanika kutokana na janga la kirusi hatari cha corona, ndio kwanza dola la kibeberu na kiistikbari la Marekani linawatumia shehena za silaha magaidi huko nchini Syria.
-
Uwezekano wa kukumbwa na corona Waziri Mkuu wa Israel wapata nguvu baada ya mshauri wake wa karibu kuambukizwa
Mar 30, 2020 06:07Gazeti la The Times of Israel la utawala wa Kizayuni limeripoti kwamba, kuna uwezekano Waziri Mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu, ameambukizwa ugonjwa hatari wa corona baada ya vipimo vya mshauri wake wa karibu kuonesha amekumbwa na maradhi hayo yanayoenenea kwa kasi kubwa.
-
Tahadhari ya makombora ya Sanaa dhidi ya Riyadh
Mar 30, 2020 03:52Jeshi na makundi ya wananchi ya Yemen yamefanya mashambulizi ya makombora dhidi ya miji ya Riyadh na Jazan huko Saudi Arabia.
-
Majeshi ya Yemen yatekeleza mashambulizi makubwa ndani ya Saudi Arabia
Mar 30, 2020 03:45Majeshi ya Yemen yametekeleza oparesheni kubwa zaidi ya ulipizaji kisasi ndani ya ardhi ya Saudi Arabia kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora kulenga maeneo muhimu kistratijia katika ufalme huo.