-
Msimamo wa wanamgambo wa Taliban wa kutoitambua rasmi serikali ya Afghanistan
Mar 03, 2020 10:10Mjumbe mwandamizi wa timu ya mazungumzo ya kundi la wanamgambo wa Taliban amesema kuwa, kundi hilo haliitambui rasmi serikali ya kutwishwa ya Afghanistan.
-
Shirika la ESOHR laionya Saudia isitekeleze hukumu ya kifo dhidi ya vijana watano
Mar 03, 2020 08:31Shirika moja la haki za binaadamu la barani Ulaya limetoa taarifa na kufichua kwamba Saudia inakusudia kutekeleza adhabu ya kifo dhidi ya vijana watano ambao iliwakamata wakiwa bado na umri mdogo.
-
HAMAS yatupilia mbali ombi la Marekani la kuweko uhusiano wa kidiplomasia baina yao
Mar 03, 2020 08:20Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ametupilia mbali ombi la Marekani la kutaka Washingto iwe na uhusiano wa kisiasa na harakati hiyo ya Kiislamu.
-
Kujiuzulu Tawfiq Allawi; sababu na athari zake
Mar 03, 2020 04:35Muhammad Tawfiq Allawi, waziri mkuu mteule wa Iraq aliyekuwa amepewa jukumu la kuunda serikali mpya, siku ya Jumapili, ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya kumalizika muhula huo wa kisheria aliopewa kutekeleza jukumu hilo, alikabidhi barua yake ya kujiuzulu kwa Rais Barham Salih wa nchi hiyo.
-
Pakistan: Hatuhitaji uingiliaji kati wa Marekani kutatua masuala yetu na Afghanistan
Mar 02, 2020 03:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan Shah Mahmood Qureshi amesema, hauhitajiki uingiliaji kati wa Marekani kwa ajili ya kutatuliwa masuala ya pande mbili kati ya nchi yake na Afghanistan.
-
Mohammed Tawfiq Allawi ajiondoa kuunda serikali ya Iraq
Mar 02, 2020 01:07Mohammed Tawfiq Allawi, Waziri Mkuu wa Iraq ametangaza kujiondoa kuunda Baraza la Mawaziri la nchi hiyo.
-
Arab League yaunga mkono kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo
Mar 01, 2020 20:50Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amekaribisha kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo.
-
Makumi ya raia wa Ufaransa wanapigana safu moja na magaidi nchini Syria
Mar 01, 2020 08:28Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vimetoa ushahidi unaooensha kuwa, kuna makumi ya raia wa Ufaransa wanaopigana bega kwa bega na magenge ya kigaidi nchini Syria.
-
Viongozi wa Israel wapatwa na wahka kutokana na kuenea virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge
Mar 01, 2020 10:24Viongozi wa utawala pandikizi wa Israel wamepatwa na wahka mkubwa kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge ndani ya utawala huo.
-
Hashdu Sha'abi yatekeleza operesheni ya mafanikio katika mikoa minne ya Iraq
Feb 29, 2020 23:11Kamandi ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq imetangaza kumalizika kwa operesheni ya mafanikio makubwa dhidi ya magaidi katika mikoa minne ya Al-Anbar, Diyala, Kirkuk na Salahdin.