-
Wairaq wataka kufungwa ubalozi wa Marekani mjini Baghdad
Jan 01, 2020 21:44Makundi mbalimbali ya wananchi nchini Iraq yameendelea kutoa wito na kushinikiza kufungwa ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
Mahkama ya Yemen yamuhukumu kifo rais mtoro
Jan 01, 2020 21:42Mahkama ya Jinai nchini Yemen imewahukumu adhabu ya kifo vibaraka wa Saudia akiwemo rais mtoro Abdrabbuh Mansur Hadi, Maeen Abdulmalik Saeed aliyekuwa waziri mkuu na Khalid Hussain Al Yamani, waziri wa mambo ya nje wa serikali iliyojiuzulu na kisha kutoroka nchi.
-
Kiwewe cha Pompeo kuhusu matukio ya hivi karibuni mjini Baghdad, Iraq
Jan 01, 2020 08:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo sambamba na kukariri madai yake bandia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kwamba matukio ya mjini Baghdad, yanatishia maslahi ya nchi yake.
-
Jibu la Wairaqi kwa shambulizi la Marekani dhidi ya al Hashdul Shaabi
Jan 01, 2020 08:43Wananchi wa Iraq wamekusanyika na kufanya maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad na kuchoma moto milango kadhaa ya ubalozi huo wakijibu na kuonesha hasira yao dhidi ya mashambulizi yaliyofanywa na Marekani katika ngome za harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya al Qhashdul Shaabi.
-
Ripoti: Israel iliwateka nyara Wapalestina 5,500 mwaka 2019
Jan 01, 2020 04:33Shirika moja la kutetea haki za wafungwa limefichua kuwa, kwa akali Wapalestina 5,500 walitekwa nyara au kutiwa mbaroni na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka uliomalizika wa 2019.
-
Marekani kutuma askari 4000 Asia Magharibi baada ya ubalozi wake 'kuvamiwa' Iraq
Jan 01, 2020 04:27Serikali ya Washington inajiandaa kutuma wanajeshi 4,000 wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, baada ya wananchi waliokuwa na ghadhabu wa Iraq kufanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
Baraza la Umoja wa Waislamu Pakistan laelezea wasi wasi kuhusu hali mbaya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Dec 31, 2019 23:24Baraza la Umoja wa Waislamu nchini Pakistan limeonyesha wasi wasi wake kufuatia hali mbaya ya kimwili ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiwa nchini humo na limetaka kuachaliwa huru haraka shakhsia huyo wa kidini.
-
Hukumu iliyotolewa na Saudia kuhusu wauaji wa Khashoggi, ni mwendelezo wa jinai
Dec 31, 2019 23:21Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Uturuki amesema kuwa, hukumu iliyotolewa na serikali ya Saudi Arabia kuhusiana na watuhumiwa wa mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala wa Aal- Saud, ni mwendelezo wa jinai za utawala huo.
-
Mchakato wa Israel wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi za Kiarabu katika mwaka 2019
Dec 31, 2019 09:48Moja kati ya zilizokuwa maudhui muhimu katika eneo la Asia Magharibi katika mwaka huu unaomalizika leo wa 2019 ni hatua ya Israel ya kufuatilia mchakato wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi za Kiarabu.
-
Wananchi wenye hasira Iraq waandamana mbele ya ubalozi wa Marekani, balozi atoroka
Dec 31, 2019 09:10Malefu ya wananchi wenye hasira nchini Iraq leo wameandamana mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad baada ya mazishi ya wapiganaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi maarufu kama Al Hashd al Shaabi ambapo wamelaani vikali hujuma ya anga ya Marekani dhidi ya vituo vya harakati hiyo.