-
Kwa nini maandamano yameshadidisha hali mbaya ya mgogoro Israel?
Aug 19, 2025 06:56Mgogoro wa hivi sasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kushadidi maandamano yanaashiria kudhoofika muundo wa kisiasa na kiusalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ripota wa UN: HAMAS ni taasisi ya kisiasa iliyochaguliwa kupitia uchaguzi, si genge la wauaji
Aug 19, 2025 03:05Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, amesisitiza kwamba Hamas inapasa itambuliwe kama harakati halali ya kisiasa badala ya kundi la wauaji.
-
Balozi wa US Israel: Marekani haipingi Israel kufanya upanuzi "mkubwa" wa vitongoji Ukingo wa Magharibi
Aug 19, 2025 02:41Balozi wa Marekani katika utawala wa kizayuni wa Israel Mike Huckabee ameiambia Redio ya Jeshi la Israel kwamba upanuzi "mkubwa" wa vitongoji katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu si ukiukaji wa sheria za kimataifa na Marekani haitalipinga suala hilo.
-
Wachambuzi: Hamas yamuweka Netanyahu katika wakati mgumu, Israel lazima ikubali pendekezo jipya
Aug 19, 2025 00:16Usitishaji vita wa muda katika Ukanda wa Gaza unaonekana kukaribia baada ya makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina kukubaliana na pendekezo jipya lililowasilishwa na wapatanishi na kuungwa mkono na Marekani. Walakini, pendekezo hilo linasubiri kuidhinishwa na utawala ghasibu wa Israel.
-
Amnesty International: Israel inatekeleza sera ya "njaa ya makusudi" dhidi ya watu wa Gaza
Aug 18, 2025 23:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali sera ya utawala dhalimu wa Israel ya kuwaua kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
WFP: Watu nusu milioni wako kwenye ukingo wa njaa Gaza
Aug 18, 2025 07:07Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, watu nusu milioni wako kwenye ukingo wa njaa katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Ripoti: Watu wenye ulemavu wazidi kuongezeka Gaza
Aug 18, 2025 04:44Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Watch limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye ulemavu katika vita vya Ukanda wa Gaza.
-
Israel yaua Wapalestina wengine 60, yashadidisha ukatili wake 'Gaza City'
Aug 18, 2025 03:13Jeshi la Israel limeshadidisha mashambulizi katika Jiji la Gaza kama sehemu ya operesheni zake zilizopanuliwa zenye lengo la kuteka na kukalia kwa mabavu eneo hilo la 'mwisho' lenye idadi kubwa ya watu katika Ukanda wa Gaza, na kulazimisha makumi ya maelfu ya Wapalestina wanaokabiliwa na njaa kukimbia tena.
-
Hamas: Israel imeingia katika marhala mpya ya mauaji ya kimbari Gaza
Aug 17, 2025 23:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Jiji la Gaza na kuwahamisha kwa nguvu wakazi wake na kusisitiza kuwa, huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Familia za mateka Waisrael zaanzisha mgomo wa nchi nzima kupinga upanuzi wa vita dhidi ya Ghaza
Aug 17, 2025 23:24Gazeti la Times of Israel limeripoti kuwa familia na waungaji mkono wa mateka Waisrael wameanza mgomo wao wa nchi nzima ili "kupinga upanuzi wa vita katika Ukanda wa Ghaza badala ya kusaini makubaliano ya kufanikisha kuachiliwa huru mateka hao wanaoshikiliwa na Hamas".