-
Je, ziara ya Putin nchini India inamaanisha kwamba New Delhi imepuuza vitisho vya Trump?
Dec 07, 2025 02:24Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya ziara nchini India kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Mwendesha Mashtaka wa ICC aikosoa Marekani kwa kuwafananisha majaji wa mahakama hiyo na magaidi, walanguzi wa dawa za kulevya
Dec 06, 2025 13:57Naibu mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ameikosoa vikali serikali ya Marekani kwa kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo ya kimataifa, hatua ambayo amesema inaakisi jinsi Washington inavyowalenga magaidi na wafanyabiashara wa dawa za kulevya.
-
Tuzo ya Amani ya FIFA kwa Trump yaitwa 'Joki ya Karne'
Dec 06, 2025 13:06Watumiaji wa mitandao ya kijamii wanasema kwamba hatua ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ya kumpa Tuzo ya Amani Rais Donald Trump wa Marekani ndio habari ya kipuuzi zaidi ambayo wamewahi kusikia maishani mwao.
-
Kumpa Trump Tuzo ya Amani ya FIFA: Ni Ubunifu au Mchezo wa Siasa?
Dec 06, 2025 10:56Jana Desemba 5, 2025, Kituo cha Sanaa za Maonyesho cha John F. Kennedy kilikuwa jukwaa la maonyesho ya kisiasa na michezo.
-
Iran Yapangwa na Ubelgiji, Misri na New Zealand Kombe la Dunia la FIFA 2026
Dec 06, 2025 03:04Njia ya kuelekea Kombe la Dunia la FIFA 2026 sasa imewekwa wazi kwa Iran baada ya droo ya Ijumaa usiku mjini Washington, D.C. kuipanga Timu ya Taifa ya Soka ya Iran maarufu kama, Team Melli, katika Kundi G lenye mvuto na msisimko, pamoja na Ubelgiji, Misri na New Zealand.
-
Je, sera za chama tawala zimechangia kuenea chuki na ukatili dhidi ya Waislamu nchini India?
Dec 06, 2025 02:44Ghasia dhidi ya Waislamu nchini India zimeongezeka sana katika miaka ya hivi karibuni.
-
Utafiti: Vita vya Gaza vinawasukuma Waingereza kwenye dini ya Uislamu
Dec 05, 2025 10:52Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Uingereza ya Athari ya Imani katika Maisha (IIFL) umeonyesha kuwa migogoro ya kimataifa ni sababu kuu kwa Waingereza kukubali dini ya Uislamu.
-
UN yatahadharisha kuhusu vifo vinavyosababishwa na mabomu ya kutegwa ardhini
Dec 05, 2025 10:49Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari kuhusu ongezeko la vifo vinavyosababishwa na mabomu ya kutegwa ardhini huku kukiwa na upungufu wa ufadhili wa programu za kutegua mabomu hayo.
-
Karibu 50% ya raia wa nchi wananchama wa EU wanamuona Trump "adui wa Ulaya"
Dec 05, 2025 06:33Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa, karibu nusu ya raia wa nchi wananchama wa Umoja wa Ulaya, EU wanamwona Rais wa Marekani Donald Trump kama "adui wa Ulaya," huku wengi miongoni mwao wakihisi hatari ya kuzuka vita vya wazi baina ya nchi zao na Russia katika miaka ijayo kuwa ni ya "juu".
-
Wakili Mskochi: Wawindaji wa wanawake wanatembea kwa uhuru nchini Uingereza
Dec 05, 2025 02:35Utafiti mpya unaonyesha kwamba wasichana na wanawake nchini Uingereza bado wanahisi hawako salama katika maeneo ya umma.