-
Walimwengu waendelea kuandamana kupinga uhalifu wa njaa huko Gaza
Aug 10, 2025 07:17Katika kukabiliana na siasa za jinai za utawala wa Kizayuni kwa wananchi wa Palestina, kumefanyika maandamano kadhaa makubwa katika miji mbalimbali duniani.
-
Taarifa ya Umoja wa Ulaya na nchi tisa ya kupinga kukaliwa kwa mabavu Gaza
Aug 10, 2025 06:40Madola tisa ya Magharibi pamoja na Umoja wa Ulaya yametoa taarifa ya kukataa kukaliwa kwa mabavu Gaza na kuutaja mpango huo wa Israel kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na za kibinadamu.
-
Shakhsia 200 duniani: Utawala wa kibaguzi wa Israel utokomezwe, kuupa kinga ya kutoadhibiwa kukomeshwe
Aug 09, 2025 23:12Zaidi ya shakhsia 200 mashuhuri ulimwenguni kote, wakiwemo viongozi wa kisiasa, wasomi, watetezi wa haki za binadamu, waandishi wa habari, wanazuoni wa kidini na watu mashuhuri wa kiutamaduni, wameandika barua ya pamoja kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wakitaka "kutokomezwa ubaguzi wa rangi wa apathaidi" na "kukomeshwa kinga ya kutoadhibiwa" kwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
-
Polisi Uingereza yawatia nguvuni takriban watu 200 katika maandamano ya "Palestine Action mjini London"
Aug 09, 2025 23:08Polisi mjini London imeeleza kuwa imewatia mbaroni takriban watu 200 kwenye maandamano ya kuliunga mkono kundi kwa jina Palestine Action, ambalo mwezi uliopita serikali ya Uingereza ililitaja kuwa taasisi ya kigaidi.
-
UK yampokea kiongozi wa Polisario ikiwa imeiunga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara
Aug 09, 2025 23:06Ujumbe wa Sahara Magharibi ukiongozwa na mwanadiplomasia mkuu wa Harakati ya Polisario umekutana na Waziri wa Uingereza anayehusika na Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Hamish Falconer mjini London sambamba na kuongezeka juhudi za kimataifa za kuushughulikia mzozo wa Sahara Magharibi.
-
Kupungua sana uungaji mkono wa Wamarekani kwa Israel, sababu na matokeo
Aug 09, 2025 23:00Himaya na msaada wa Marekani kwa Israel, kama mmoja wa washirika wake wa karibu, umekuwa mhimili mkuu wa sera za nje za Marekani kwa miongo kadhaa kutokana na masuala ya kisiasa, kihistoria na kimkakati.
-
Kituo cha silaha za nyuklia cha Uingereza chavujisha mada za radioactive
Aug 09, 2025 11:50Mada za radioactive zimeripotiwa kuvuja baharini kutoka katika kituo kinachohifadhi mabomu ya nyuklia ya Uingereza baada ya mabomba ya zamani kupasuka mara kadhaa.
-
Venezuela yalaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa kuukalia kwa mabavu Ukanda wa Gaza
Aug 09, 2025 10:00Serikali ya Venezuela imepinga vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuukalia kwa mabavu Ukanda wa Gaza na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kuzidisha mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
-
Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?
Aug 09, 2025 07:59Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Utafiti mpya wafichua jinsi Mfalme wa Uingereza alivyofaidika na utumikishwaji wa watumwa
Aug 08, 2025 23:01Utafiti mpya umefichua jinsi Mfalme George IV wa Uingereza alivyonufaika binafsi kutokana na utumikishwaji wa watumwa kwenye mashamba ya Karibea, na hivyo kutilia nguvu upya miito ya kuutaka utawala huo wa kifalme uwajibike kwa madhara na maafa yaliyosababishwa na ukoloni wake wa zamani.