-
Volker Turk aonya kuongezeka vifo vya wahamiaji katika utawala wa Trump
Jun 28, 2026 04:30Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk imetoa taarifa na kuonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko kubwa la vifo vya wahamiaji vinavyotokea katika vituo vya kuwazuilia wahamiaji nchini Marekani wakati wa muhula wa pili wa utawala wa Donald Trump, na ametaka kufanyika uchunguzi huru kuhusu suala hilo.
-
Ireland: Wanamichezo waungana kupinga uhusiano wa kimichezo na utawala wa Kizayuni
Jun 28, 2026 04:24Mji mkuu wa Ireland, Dublin, umeshuhudia kufanyika kwa wakati mmoja shughuli mbalimbali za wananchi na matukio ya michezo yaliyolenga kuunga mkono Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano wa kimichezo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Katibu Mkuu UN: Jitihada zaidi zinahitajika kutokomeza matumizi ya mihadarati
Jun 27, 2026 02:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuimarisha juhudi za kukabiliana na matumizi ya dawa za kulevya na biashara haramu ya dawa hizo, akionya kuwa tatizo hilo linaendelea kusababisha madhara makubwa kwa watu na jamii duniani kote.
-
Trump amwambia Netanyahu katika malumbano makali ya simu: "Wayahudi wote wamekuchoka"
Jun 26, 2026 11:16Televisheni ya CNN ya Marekani imefichua malumbano makali ya simu baina ya Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel ambapo Donald Trump amemkemea Benjamin Netanyahu, akimwambia: "Wayahudi wote wamekuchoka," huku Marekani ikizidisha mashinikizo kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusu Ukanda wa Gaza.
-
Timu za uokoaji zinakimbizana na wakati kutafuta manusura chini ya vifusi; huenda 10,000 wameuawa zilzala ya Venezuela
Jun 26, 2026 10:38Baada ya mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi kukumba miji kadhaa nchini Venezuela Jumatano jioni, Wavenezuela wamekuwa wakiishi katika hali ngumu, ikiwa ni pamoja na kuhama makazi na kutafuta jamaa zao waliokwama chini ya vifusi, huku makadirio yakisema kwamba idadi ya vifo vilivyosababishwa na mitetemeko hiyo inaweza kuzidi watu 10,000.
-
Joto kali lasababisha vifo vya zaidi ya watu 212 barani Ulaya
Jun 26, 2026 04:08Nchi kadhaa za Ulaya zimerekodi vifo vya makumi ya watu kutokana na wimbi kubwa la joto, huku kwa uchache watu 212 wakifariki dunia nchini Uhispania, na wengine kadhaa, wakiwemo watoto 3, wakiaga dunia nchini Ufaransa wiki hii.
-
Wamarekani: Waasisi wangekatishwa tamaa na hali ya sasa ya nchi
Jun 26, 2026 03:50Wamarekani wengi wamekatishwa tamaa na serikali yao, wakisema kwamba Waasisi wangesikitishwa sana na hali ya sasa ya kijamii na kisiasa ya Marekani.
-
Ashura; Shule ya Ufahamu na Uaminifu Iliyovuka Mipaka ya Historia
Jun 25, 2026 12:55Ashura; Shule ambayo iliunganika na damu tukufu na kupelekea watu waaminifu 72 kuuawa shahidi, na hivyo kuwa taa ya wongofu wa historia huku wakiwa wamechagua utukufu wa milele kwa ufahamu na mwamko kamili.
-
Matetemeko makubwa ya ardhi yaikumba Venezuela, makumi waaaga dunia
Jun 25, 2026 09:47Matetemeko mawili makubwa ya ardhi yameikumba Venezuela siku ya Jumatano, na kusababisha uharibifu mkubwa katika mji mkuu Caracas na maeneo ya jirani.
-
Umoja wa Mataifa: Watoto milioni 100 wameachishwa shule kutokana na migogoro
Jun 25, 2026 04:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watoto milioni 100 wameachishwa shule kutokana na migogoro.