-
Msemaji wa zamani wa Pentagon: Majenerali wa Marekani wana hofu kubwa kuhusu vita dhidi ya Iran
May 09, 2026 08:08Msemaji wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amefichua kuwa: Majenerali waandamizi wa jeshi la nchi hiyo wana hofu kubwa kuhusu kuzungumzia vita vya maafa dhidi ya Iran.
-
Jeshi la Israel lawanyanyasa kingono wanaharakati wa Al-Samoud Global Flotilla
May 09, 2026 07:59Wakati mjadala wa mzingiro wa Ukanda wa Gaza na kampeni za kimataifa za kuvunja mzingiro huo wa utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo ukiendelea, kundi la Al-Samoud Global Flotilla, limechapisha ushuhuda kutoka kwa wanaharakati wake walioachiliwa huru, likishutumu jeshi la Israel kuwa limewanyanyasa kimwili na kingono washiriki wa msafara huo.
-
Russia yapinga azimio la Marekani dhidi ya Iran katika Baraza la Usalama la UN
May 08, 2026 10:46Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Vasily Nebenzya, amepinga vikali azimio lililopendekezwa na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Baraza la Usalama. Amelitaja azimio hilo kuwa ni jaribio jingine lenye mtazamo wa uhasama, linalolenga kuizingira Iran huku likipuuza mizizi halisi ya mzozo wa sasa wa Ukanda wa Asia ya Magharibi.
-
UN yataka kuachiliwa huru wanaharakati wa Global Sumud Flotilla
May 07, 2026 11:32Umoja wa Mataifa umeitaka Israel iwaachilie mara moja wanaharakati wawili wa meli za misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza wanaoshikiliwa bila mashtaka; na vilevile kuchunguzwa visa vya kuaminika vya kuteswa wanaharakati hao.
-
Chapisho la Trump kuhusu Yesu Kristo lapingwa na 87% ya umma huko Marekani
May 07, 2026 11:25Uchunguzi mpya wa maoni unaonyesha kuwa Wamarekani wengi wamepinga vikali picha iliyotengenezwa na Donald Trump kwa kutumia akili mnemba (AI) ikimdhihirisha kiongozi huyo kama Yesu Kristo, na vilevile matamshi yake yanayomshambulia Papa Leo XIV, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani.
-
Athari mbaya za vita dhidi ya Iran… Ongezeko la mafuta ya ndege lawatia wasiwasi washauri wa Trump
May 07, 2026 11:09Washauri wa Rais Donald Trump wa Marekani wanazidi kuwa na wasiwasi kwamba kupanda kwa bei ya mafuta ya ndege kunakosababishwa na vita vya nchi hiyo na Israel dhidi ya Iran kutawadhuru Warepublican katika uchaguzi wa katikati ya muhula.
-
Papa Leo aendelea kuponda bwabwaja za Trump
May 06, 2026 10:52Mvutano kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Kiongozi wa Wakatoliki duniani Papa Leo wa XIV kuhusu misimamo ya kupinga vita unaendelea kutokota.
-
BBC: Uingereza ni mwathirika mkubwa zaidi wa kiuchumi wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
May 06, 2026 10:29Ripoti ya BBC inasema Uingereza inakabiliwa na pigo kubwa zaidi kwa ukuaji wa uchumi miononi mwa nchi za kundi la 20 (G20), kutokana na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran na kufungwa Mlango Bahari wa Hormuz.
-
Njozi za Marekani Kujiona Dola Lenye Nguvu za Kipekee Zimefikia Ukingoni?
May 05, 2026 14:02Profesa Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia amesema: "Vita vya Iran ndio wakati ambapo dhana ya Marekani kuwa dola lenye nguvu za kipekee ilikumbana na ukweli halisi."
-
Iran yatibua mpango wa Trump kuhusu Kombe la Dunia
May 05, 2026 11:51Iran imevuruga mipango ya Rais wa Marekani, Donald Trump, si tu katika nyanja za uchumi, siasa na masuala ya kijeshi kufuatia mvutano kati ya pande hizo mbili, bali pia katika mradi unaohusiana na Kombe la Dunia FIFA 2026.