-
Seneta wa Marekani: Serikali ya Trump imesema uongo kuhusu shambulio dhidi ya shule ya Iran
Mar 12, 2026 04:35Seneta wa Marekani amekosoa uongo wa kukaririwa wa serikali na jeshi la nchi hiyo na kusema serikali imetudanganya kuhusu shambulizi lililolenga shule ya watoto wadogo nchini Iran.
-
Korea Kaskazini yampongeza Ayatullah Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 11, 2026 23:20Korea Kaskazini imepongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Seneta wa Marekani akiri: Hatutafikia malengo yetu yoyote katika vita na Iran
Mar 11, 2026 09:33Chris Murphy, Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani, kufuatia kikao cha faragha na maafisa wa utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, amekosoa mtazamo wa utawala huo na kusema: "Hatutafikia malengo yoyote tuliyotangaza katika vita dhidi ya Iran."
-
Mufti Mkuu wa Russia ampongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei
Mar 11, 2026 08:38Mufti Mkuu wa Russia ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Shirikisho la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi Mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Medvedev: Mashambulizi dhidi ya Iran ni uchokozi unaokiuka misingi ya uungwana
Mar 11, 2026 04:54Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei na kusema kuwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya ardhi ya Iran ni uchokozi unaokiuka misingi ya uungwana na wala hayawezi kuhalalishwa kwa njia yoyote.
-
Uhispania: Kamisheni ya Ulaya itetee sheria za kimataifa/ Wallace: Muungano wa Epstein unalenga raia nchini Iran
Mar 10, 2026 10:24Naibu Waziri Mkuu wa Uhispania amekosoa vikali matamshi ya Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya, Ursula von der Leyen, kuhusu utaratibu wa kimataifa na kuunga mkono vita vya uvamizi dhidi ya Iran.
-
Uingereza: Hatutaingia katika vita dhidi ya Iran/ Ireland yalaani uvamizi wa Marekani na Wazayuni dhidi ya Iran
Mar 09, 2026 08:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa London haitajiunga katika vita vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
Russia yawasilisha rasimu ya azimio Baraza la Usalama, yataka kukomeshwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Mar 09, 2026 03:02Russia imewasilisha rasimu ya azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikitaka kukomeshwa vita katika eneo la Asia Magharibi.
-
Washington Post: Trump anakabiliwa na "upande mweusi" wa vita na Iran; majeneza yameanza kuwasili
Mar 08, 2026 09:24Gazeti la Washington Post limeitaja shughuli ya kupokea miili ya wanajeshi sita wa Marekani waliouawa katika operesheni kali ya Iran kuwa ni ishara kwamba vita vinamwendea vibaya rais wa nchi hiyo.
-
Vyombo vya habari vya Algeria: Kesi ya Epstein ndiyo chanzo cha moja kwa moja cha vita vya Trump dhidi ya Iran
Mar 08, 2026 08:04Gazeti la Algeria "Al-Shorouk" limeandika kuwa kashfa iliyotokana na kesi ya bilionea mashuhuri na mhaifu wa ngono wa Marekani, Jeffrey Epstein, na kuhusika Rais Donald Trump katika kashfa hiyo ndiyo sababu ya moja kwa moja ya kuanzisha vita dhidi ya Iran ili kupotosha maoni ya umma nchini Marekani na duniani.