-
Je, kwa nini uadilifu wa rangi ni nara tupu isiyotekelezeka huko Marekani?
May 28, 2025 02:32Miaka mitano baada ya kuuawa kikatili George Floyd, kijana Mmarekani mweusi, na polisi wa nchi hiyo, hatua na sera zilizoahidiwa kutekelezwa na serikali ya Marekani na makampuni mengi makubwa ya kiuchumi nchini humo kwa ajili ya hakikisha haki na usawa vinadumishwa kati ya jamii na watu wa rangi tofauti wa nchi hiyo zimesahaulika kabisa.
-
Ubelgiji: Ni mambo gani mengine ya kutisha lazima yatokee Gaza hata tuyaite ni mauaji ya kimbari?
May 27, 2025 22:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prévot ameulaumu vikali Umoja wa Ulaya kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza, akisema hali ya sasa imevuka ghadhabu ya kimaadili na sasa inahitaji hatua madhubuti za adhabu.
-
Mataifa masikini yakabiliwa na wimbi la madeni ya China
May 27, 2025 22:37Mataifa masikini duniani sasa yanakabiliwa na wimbi kuubwa la madeni ya China na kuyaweka katika hali mbaya kutokana na kulemewa na madeni hayo.
-
Radiamali za kindumakuwili kwa jinai za Israel; kuanzia maandamano ya wananchi hadi kimya cha serikali
May 27, 2025 22:37Wiki ya mwisho ya mwezi Mei 2025 imekuwa nukta ya kuanzia mabadiliko katika mchakato wa kueneza hasira za walimwengu dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Balozi wa Colombia: Dunia isifumbie macho mateso ya watu wa Gaza
May 27, 2025 03:08Jorge Ivan Ospina, balozi mpya wa Colombia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema "ulimwengu haupaswi kuwafumbia macho" raia wa Palestina wanaoteseka huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.
-
Mataifa ya Kiislamu yatakiwa yaungane kukabiliana na 'Islamophobia'
May 27, 2025 03:03Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev ametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu kuungana na kusimama bega kwa bega katika kupambana na chuki dhidi ya Uislamu.
-
Rais wa Brazil: Israel inataka kuwafukuza Wapalestina katika ardhi yao kupitia mauaji ya halaiki
May 26, 2025 23:24Rais Lula Da Silva wa Brazil sambamba na kulaani mauaji ya watoto tisa wa Dakta Alaa Al-Najjar katika Ukanda wa Gaza yaliyofanywa na Israel ametangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni yanalenga kuwafukuza Wapalestina katika ardhi yao.
-
Vyama vya upinzani Ugiriki vyaitaka serikali isitishe ushirikiano wa kijeshi na Israel
May 26, 2025 23:24Vyama vya upinzani nchini Ugiriki vimeitaka serikali ya nchi hiyo isitishe ushirikiano wake wa kijeshi na utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Uhispania: Kutambuliwa rasmi Palestina ndio njia pekee ya kupatikana amani
May 25, 2025 22:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amesema kuwa, nchi yake haina nia ya kutoa nasaha kwa yeyote; lakini njia pekee ya kupata amani ni kuitambua nchi ya Palestina.
-
Walimwengu waendelea kutoa wito wa kuhitimishwa mzingiro Gaza
May 25, 2025 22:50Huku hali mbaya ya kibinadamu ikiongezeka katika Ukanda wa Gaza, ripoti zinaonyesha kuwa Israel imewaua zaidi ya watoto 14,500 wa Kipalestina hadi sasa, kwa risasi, makombora, au kufunikwa chini ya vifusi.