-
China ni miongoni mwa mataifa 7 yanayoongoza kwa kuzalisha taka nyingi za plastiki duniani
May 25, 2025 22:46Kila mwaka, mamilioni ya tani za taka huzalishwa duniani, nyingi zikiwa za plastiki ambazo huishia kuchafua bahari, mito, ardhi na hata anga.
-
Kwa nini Trump ana vigezo vya kibaguzi kuhusu suala la nyuklia?
May 25, 2025 22:44Siku ya Ijumaa, Mei 23, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini dikri mpya kadhaa zinazolenga kuongeza uwezo wa uzalishaji wa nishati ya nyuklia, kupunguza kanuni za udhibiti na kupanua sekta ya urutubishaji wa madini ya urani nchini humo.
-
Waandamanaji Ulaya wataka jamii ya kimataifa izuie Israel kuendeleza mauaji ya kimbari Gaza
May 25, 2025 07:55Maelfu ya waandamanaji mjini Berlin, Paris na Stockholm wametaka serikali zao zivunje ukimya kuhusu vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendeshwa na Israel huko Gaza, wakihimiza hatua ya haraka ya kimataifa na vikwazo dhidi ya utawala huo.
-
Je, juhudi za kufuta dola katika miamala ya BRICS zitaongezeka au la?
May 25, 2025 04:28Benki ya Ustawi Mpya ya BRICS imetangaza upanuzi wa taasisi hii ya kifedha kwa kukubali uanachama wa Algeria.
-
Mtangazaji maarufu wa Uingereza: Siwezi tena kuikingia kifua Israel
May 25, 2025 03:28Mtangazaji mmoja maarufu wa televisheni nchini Uingereza ambaye kwa miaka mingi alikuwa ni mtetezi mkubwa wa jinai za utawala ghasibu wa Israel, hivi karibuni amekiri kwamba, hatua za jeshi la Israel huko Ghaza ni mauaji ya kimbari na hazivumiliki tena.
-
Pigo jingine kwa Trump; mahakama yaamuru Harvard iandikishe wageni
May 25, 2025 03:06Jaji wa mahakama moja nchini Marekani amezuia kwa muda amri ya utawala wa Trump ya kufuta kibali cha kuandikishwa wanafunzi wa kigeni katika Chuo Kikuu cha Harvard.
-
Ufaransa kutambua taifa la Palestina katika mkutano ujao wa Umoja wa Mataifa
May 24, 2025 22:51Serikali ya Ufaransa inatarajiwa kutangaza kutambua taifa la Palestina katika mkutano ujao wa Umoja wa Mataifa.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kuruhusiwa misaada ya kibinadamu Gaza
May 24, 2025 09:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Gaza na kutoa wito wa kufikishwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo, akisisitiza kwamba watu wa Gaza wanakabiliwa na njaa na kwamba ulimwengu unatazama hali hii.
-
Kwa nini utawala wa Trump umebatilisha kibali cha Chuo Kikuu cha Harvard cha kuandikisha wanafunzi wa kigeni
May 24, 2025 07:34Katika hali isiyokuwa ya kawaida na yenye utata mwingi, utawala wa Donald Trump umetoa agizo kwa Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani kufuta kibali cha Chuo Kikuu cha Harvard cha kuandikisha wanafunzi wa kigeni.
-
Harvard yaushtaki utawala wa Trump kwa kupiga marufuku wanafunzi wa kigeni
May 24, 2025 03:35Chuo Kikuu cha Harvard kimeushtaki utawala wa Donald Trump kwa kuizuia taasisi hiyo mashuhuri ya elimu ya Marekani kusajili wanafunzi wa kigeni, kikiitaja hatua hiyo kuwa ni ulipizaji kisasi kinyume na katiba, kutokana na wanachuo hao kukaidi amri za kisiasa za Ikulu ya White House.