-
Putin aishukuru Korea Kaskazini kwa msaada wake wa kijeshi
Apr 28, 2025 04:28Rais wa Russia, Vladimir Putin ametoa shukrani zake za dhati kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini na kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un, kwa msaada na uungaji mkono wao katika operesheni ya kuzima uvamizi wa Ukraine.
-
Mwislamu auawa Ufaransa, muuaji alirekodi uhalifu huo na kumtukana Mungu
Apr 27, 2025 22:55Muislamu mmoja ameuawa nchini Ufaransa baada ya kudungwa kisu takriban mara 50 na mwanamume Mfaransa mwenye chuki dhidi ya Uislamu ndani ya msikiti katika manispaa ya La Grand-Combe katika eneo la Le Gard kusini mashariki mwa Ufaransa. Polisi wamemtambua mtu huyo.
-
Wafanyakazi 300 wa Google wapinga kuiuzia Israel teknlojia ya AI, inatumika kuua raia Gaza
Apr 27, 2025 22:54Wafanyakazi karibu 300 wa Kampuni ya Google nchini Uingereza wamepinga uamuzi wa kampuni hiyo wa kuuza teknolojia ya akili mnemba (AI) kwa makampuni ya usalama yenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kutaka hatua hiyo isitishwe.
-
Ripoti: Mfumo wa elimu wa Uingereza unahitaji kukombolewa kutoka kwenye ukoloni
Apr 27, 2025 22:54Mauaji ya kimbari yanayofanywa dhidi ya Wapalestina katika kipindi cha miezi 18 sasa yasingewezekana bila ya kuwadhalilisha watu wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kwa kuwatambua kuwa sio binadamu katika vyombo vya habari na miongoni mwa wanasiasa hasa wa nchi za Magharibi wanaoungwa mkono na Harakati ya Kimataifa ya Kizayuni.
-
UN yatuma salamu za pole na rambirambi kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko wa Bandar Abbas
Apr 27, 2025 04:13Umoja wa Mataifa umetuma salamu za pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran jana Jumamosi.
-
Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani
Apr 26, 2025 23:03Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.
-
Wanachuo wampigisha magoti Trump, awarejeshea viza
Apr 26, 2025 23:02Utawala wa Trump umelazimika kuwarejeshea viza maelfu ya wanafunzi wa kigeni wanaosoma nchini Marekani ambao alikuwa amewafutia vibali vya kuishi nchini humo kutokana na kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za Israel.
-
UK: Biashara na Ulaya ni muhimu zaidi kwetu kuliko Marekani
Apr 26, 2025 23:01Waziri wa Hazina wa Uingereza, Rachel Reeves amesemaa kuwa, biashara baina ya nchi yake na Umoja wa Ulaya ni muhimu zaidi kuliko uhusiano wa kiuchumi na Marekani.
-
Indhari na hatua mpya kuhusu vita vya ushuru vya Trump
Apr 26, 2025 22:56Indhari na radiamali mpya zimetolewa ndani ya Marekani na kimataifa kutokana na kuendelea vita vya ushuru vya Rais Donald Trump na madai yake katika uwanja huo.
-
Washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel watoa wito wa kukomeshwa mauaji ya kimbari huko Gaza
Apr 26, 2025 03:35Washindi wanane wa Tuzo ya Amani ya Nobel wametoa wito wa dharura wa kukomeshwa mara moja mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza na kuhitimisha kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.