-
Jibu la Russia kwa vitisho vya Trump dhidi ya BRICS
Feb 10, 2025 23:14Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais Donald Trump wa Marekani la kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za BRICS iwapo dola itafutwa katika mabadilishano ya kibiashara ya nchi hizo, na kusisitiza kuwa ushirikiano wa nchi wanachama wa BRICS unalenga kuimarisha uwezo wa kijamii, kiuchumi na kibinadamu wa nchi hizo.
-
Trump: Canada 'haifai' kama nchi bila misaada ya Marekani
Feb 10, 2025 07:54Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa kauli za dharau na kejeli dhidi ya nchi mbali mbali duniani, mara hii akiishambulia tena moja ya waitifaki wake, akisema Canada "haifai" kama nchi bila msaada wa kiuchumi na ulinzi wa kijeshi wa Marekani.
-
Trump arudia kutamka bila ya aibu kuwa amejitolea 'kuinunua Ghaza na kuifanya milki' ya Marekani
Feb 10, 2025 03:29Rais wa Marekani Donald Trump amerudia tena bila ya aibu kutoa pendekezo lake tata la kulinyakua na kulidhibiti eneo la Ukanda wa Ghaza, akisema amejitolea "kulinunua na kulimiliki" eneo hilo lililoharibiwa na vita.
-
Ubadhirifu mkubwa Marekani, kila mwaka Idara ya Hazina inalipa dola bilioni 100 kwa watu hewa
Feb 09, 2025 07:10Elon Musk, Mkuu wa Ofisi ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE) amesema kuwa, Idara ya Hazina ya nchi hiyo imegubikwa na ubadhirifu mkubwa na kwamba kila mwaka inalipa watu hewa dola bilioni 100 za Kimarekani.
-
Wahispania waandamana kupinga kuweko nchini humo timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya Israel
Feb 08, 2025 09:38Wakaazi wa mji wa Vitoria-Gasteiz Uhispania wameandamana wakipinga kuingia mjini humo timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unatenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
Ujerumani yakosoa vikali hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC
Feb 08, 2025 08:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Dunia yaalani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC/ Netanyahu ashukuru
Feb 08, 2025 04:28Nchi 79 duniani zimelaani vikwazo vya serikali ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya mjini The Hague, Uholanzi.
-
Uswisi yamchunguza mwanajeshi wa Israel anayetuhumiwa kufanya uhalifu wa kivita Gaza
Feb 07, 2025 22:59Uswisi imeanza kufanya uchunguzi wa jinai dhidi ya mwanajeshi Mzayuni anayeishi nchini humo kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita wakati wa vita vya utawala wa Israel dhidi ya wakaazi wa Ukanda wa Gaza.
-
Onyo la Baraza la Ulaya kuhusu matokeo ya vikwazo vya Marekani dhidi ya ICC
Feb 07, 2025 22:58Baraza la Ulaya limeonya kuhusu matokeo ya hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake The Haugue Uholanzi.
-
Rais wa Marekani anataka kunyakua Ukanda wa Gaza
Feb 07, 2025 08:40Katika taarifa isiyo na mfano wake na ya ghafla, Rais wa Marekani amesema mbele ya Waziri Mkuu wa Israel huko White House kwamba Marekani inanuia kuutwaa Ukanda wa Gaza na pia kuwa kuna uwezekano wa nchi hiyo kutambua rasmi udhibiti wa utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.