-
Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa kufanyika upatanishi ili kumaliza mzozo wa Kongo DR
Feb 07, 2025 07:36Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, sasa ni wakati wa kumaliza mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.
-
Trump aiwekea vikwazo ICC kwa kuchunguza jinai za Israel, Marekani
Feb 07, 2025 04:23Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini dikrii (amri ya utendaji) ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwa kile alichokiita uchunguzi usio na msingi dhidi ya Marekani na muitifaki wake wa karibu, Israel, kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Cuba: Kuna ulazima wa nchi huru ya Palestina kutambuliwa rasmi
Feb 06, 2025 23:10Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Cuba ametangaza kuwa taifa huru la Palestina linapaswa kutambuliwa na mjim Baytul-Muqaddas Mashariki ukiwa mji mkuu wake.
-
Walimwengu waendelea kukataa mpango wa Trump wa kuitwaa Gaza
Feb 06, 2025 23:09Mpango wa Trump wa kuitwaa Gaza umeendelea kupingwa kkatika kila kona ya dunia.
-
Guterres amuonya Trump kuhusu jaribio la kufuta kizazi cha Wapalestina huko Gaza
Feb 06, 2025 07:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameonya dhidi ya jaribio lolote la "kufuta kizazi" cha Wapalestina huko Gaza, akisisitiza haja ya kuzingatiwa sheria za kimataifa wakati wa kutafuta ufumbuzi wa suala la Palestina.
-
Waandamanaji wachoma moto nyumba ya mwasisi wa Bangladesh, Sheikh Mujibur Rahman
Feb 06, 2025 07:31Kundi kubwa la waandamanaji jana liliharibu na kuchoma makazi ya mwasisi wa Bangladesh, Sheikh Mujibur Rahman huko Dhaka, wakati binti yake, Sheikh Hasina waziri mkuu aliyeondolewa madarakani alipokuwa akihutubia kwa njia ya mtandao.
-
Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel
Feb 05, 2025 23:02Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Wapalestina.
-
Moscow: Zelensky 'ana kichaa' kwa kutaka silaha za nyuklia za NATO
Feb 05, 2025 23:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema mwito wa Rais wa Ukraine, Vladimir Zelensky wa kutaka Kyev ipewe silaha za nyuklia na shirika la kijeshi la NATO unatia wasiwasi mkubwa.
-
Bunge la Brussels: Vita vya Israel dhidi ya Gaza ni mauaji ya kimbari
Feb 05, 2025 08:58Katika hatua kubwa kwa harakati za kupigania haki za wananchi wa Palestina, Bunge la Brussels limepasisha azimio la kutambua rasmi vitendo vinavyofanywa na jeshi la Israel huko Gaza kuwa ni mauaji ya kimbari, na kutaka kuwekewa vikwazo utawala huo wa Kizayuni.
-
Hatua ya Trump yaitafakarisha Kenya juu ya operesheni ya Haiti
Feb 05, 2025 08:48Kenya imesema imeanzisha mchakato wa kubadilisha ujumbe wake wa usalama ulioko Haiti kuwa operesheni ya Umoja wa Mataifa, baada ya Marekani kusimamisha ufadhili kwa ujumbe huo.