-
Balozi wa Iran amkabidhi Papa Francis maandishi ya “Kama Yesu Kristo angekuwa miongoni mwetu”
Jan 05, 2025 23:37Kibao chenye nukuu kutoka hotuba za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu Nabii Isa Masih (Amani ya Iwe Juu Yake) ambaye ni maarufu kama Yesu miongoni mwa Wakristo, kimekabidhiwa kwa Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
-
China yakanusha kukabiliana na ugonjwa unaoshabihiana na Uviko-19
Jan 05, 2025 04:13China imekadhibisha madai kwamba inakabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kupumua usiofahamika unaofanana na Uviko-19.
-
Jaji: Hukumu dhidi ya Trump kutolewa kabla ya kuapishwa kwake
Jan 05, 2025 00:05Jaji wa New York ametangaza kuwa, hukumu dhidi ya Donald Trump Rais mteule wa Marekani itatolewa tarehe 10 ya mwezi huu wa Januari katika kesi yake ya fedha mjini New York siku chache kabla ya kuapishwa kuwa rais.
-
Rais wa Chile atembelea Ncha ya Kusini kuwania ardhi ya eneo hilo
Jan 04, 2025 09:21Rais wa Chile amefanya safari ya kihistoria kwenda Ncha ya Kusini huku nchi yake ikidai kuwa inamiliki baadhi ya maeneo ya Antarctica
-
Baraza la Usalama laitisha kikao kujadili hali ya Gaza
Jan 04, 2025 03:50Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha kikao ambacho ajenda yake kuu ni kuchunguza mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Uchunguzi wa jinai za askari wa Uingereza; ni wa kweli au kiini macho?
Jan 03, 2025 23:28Gazeti la The Guardian limeandika kuwa, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imetangaza kuwafungulia mashtaka askari 9 wa kikosi maalumu cha jeshi la nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya jinai za kivita nchini Syria na kwamba limeanzisha uchunguzi wa kimahakama dhidi ya mwanajeshi mwingine kwa tuhuma za kufanya jinai nchini Afghanistan.
-
Mamia ya Wamarekani waamua kurejea kwao barani Afrika
Jan 03, 2025 23:27Mamia ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao hawahesabiwi kuwa ni raia wa daraja la kwanza huko Marekani, wameamua kurejea kwao barani Afrika na tayari wamepewa uraia rasmi nchini Ghana.
-
UNICEF yataka kulindwa watoto wakimbizi
Jan 03, 2025 08:32Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu 2,275 mwaka jana walipotea katika bahari ya Mediterania na kwamba aghalabu yao wanaaminika kuwa walipoteza maisha katika njia hatari za bahari hiyo khususan zile zinaoztumiwa na wafanya magendo ya binadamu kutoka Tunisia na Libya kwa lengo la kufika Italia.
-
Mwaka mpya waanza na maafa Ufaransa, magari 1000 yamechomwa moto mkesha wa mwaka mpya
Jan 03, 2025 00:15Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa ametangaza kuwa magari elfu moja yalichomwa moto wakati wa ghasia na machafuko ya sherehe za kukaribisha mwaka mpya nchini humo.
-
Shambulizi dhidi ya Jengo la Trump limetekelezwa na afisa wa zamani wa Jeshi la Marekani
Jan 02, 2025 11:23Wachunguzi wamemtambua dereva wa gari aina ya Tesla Cybertruck iliyolipuka katika shambulizi la kigaidi nje ya Hoteli ya Trump huko Las Vegas kuwa ni mwanajeshi wa zamani mwenye umri wa miaka 37, Matthew Livelsberger kutoka Colorado Springs.