-
Shambulio linalohusishwa na ISIL (ISIS) laua watu wapatao 15 mjini New Orleans, Marekani
Jan 02, 2025 03:18Watu wasiopungua 15 wameuawa na wengine wapatao 35 wamejeruhiwa katika shambulio la gari na bunduki lililotokea usiku wa manane wa kuamkia jana katika mji wa New Orleans nchini Marekani kwenye eneo la barabara ambapo sherehe za mwaka mpya zilikuwa zikifanyika.
-
Kuongezeka uhalifu wa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza
Jan 01, 2025 00:11Baraza la Kiislamu la Uingereza limetangaza kuwa vitendo vya uhalifu dhidi ya Uislamu vimeongezeka sana katika baadhi ya maeneo nchini humo.
-
"Msimu wa Pili wa Vurugu" dhidi ya Wahamiaji huko Marekani
Dec 31, 2024 23:53Donald Trump anatazamiwa kuanza rasmi kuhudumu katika wadhifa wa urais wa Marekani tarehe 20 Januari, na anatarajia kuchukua hatua kubwa za kukatisha kasi ya uhamiaji na kuwafurusha wahamiaji haramu kutoka nchini humo.
-
Muhammad; Jina pendwa na maarufu zaidi katika mji mkuu wa Ujerumani
Dec 31, 2024 04:14Jina "Muhammad" limetangazwa kuwa ndilo jina pendwa na maarufu zaidi kwa watoto wa kiume katika miji ya Ujerumani ya Berlin na Brandenburg katika mwaka unaomalizika leo wa 2024.
-
Mahakama ya Korea Kusini yatoa kibali cha kukamatwa kwa Yoon
Dec 31, 2024 04:11Mahakama ya Korea Kusini imetoa waranti ya kukamatwa Rais wa nchi hiyo anayeandamwa na Bunge, Yoon Suk-yeol kutokana uamuzi wake wa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo Desemba 3.
-
Katika salamu za mwaka mpya, Katibu Mkuu wa UN asema: Tunaweza kuifanya 2025 kuwa mwanzo mpya
Dec 31, 2024 00:07Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ilikuwa vigumu sana kupata matumaini mwaka 2024, lakini akaongeza kuwa, tunaweza kuugeuza mwaka 2025 kuwa mwanzo mpya si wa ulimwengu usio na usawa na uliogawanyika, lakini ulimwengu ambao ndani yake mataifa yameungana pamoja.
-
Taifa kubwa lenye mamia ya maelfu ya watu wasio na makazi
Dec 30, 2024 23:12Hali ya kiuchumi na kijamii imekuwa ngumu zaidi kwa raia wa Marekani, na idadi ya watu wasio na makazi katika nchi hiyo imefikia rekodi ya kihistoria katika miaka ya hivi karibuni.
-
Masih Isa katika nchi yake ya Palestina; Wanaodai kuwa Wakristo wameketi Vatican
Dec 30, 2024 00:18“Kama Nabii Isa Masih (as), au Yesu Kristo kama anavyojulikana baina ya Wakristo, angekuwa miongoni mwetu hii leo, asingesita hata kidogo kupambana na vinara wa ukandamizaji na ubeberu duniani, na wala asingestahamili njaa na kulazimishwa kuhama kwa mabilioni ya watu ambao wamesukumwa vitani na madola ya kibeberu."
-
Wafanyakazi wa BBC wafichua mhariri wao alivyochangia 'kusafisha' jinai za kivita za Israel Ghaza
Dec 30, 2024 00:15Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC wamefichua kuwa mhariri wao Raffi Berg ana udhibiti kamili wa ripoti zinazotolewa mitandaoni na shirika hilo kuhusu vita vya mauaji ya kimbari ya Israel huko Ghaza, na kuhakikisha kuwa habari zote zinazotolewa zinaipendelea Israel. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na tovuti ya habari ya Drop Site News.
-
Riyadh Mansour na Francesca Albanese shakhsia muhimu wa UN kwa mwaka 2024
Dec 29, 2024 08:58Duru za habari zimeripoti kuwa, Mwakilishi wa Kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa na Ripota Maalumu wa umoja huo kuhusu masuala ya Palestina wamechaguliwa kuwa shakhsia muhimu wa Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2024.