-
Intelijensia ya Russia: US na UK zinapanga mashambulio ya kigaidi dhidi ya vituo vyetu vilivyoko Syria
Dec 29, 2024 07:33Idara ya Intelijensia ya Russia ya Nje ya Nchi (SVR) imetahadharisha kuwa Marekani na Uingereza zinapanga mashambulizi ya kigaidi katika vituo ya kijeshi vya nchi hiyo vilivyoko Syria ili hali ya nchi hiyo isitangamae na amani na uthabiti usirejee nchini humo.
-
Ndege ya Korea Kusini yaanguka na kuua watu 124
Dec 29, 2024 04:20Kwa akali watu 124 wamefariki dunia katika ajali ya ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Muan katika Mkoa wa Jeolla Kusini nchini Korea Kusini.
-
Idadi ya watu wasio na makazi nchini Marekani yazidi kuongezeka
Dec 29, 2024 03:47Idadi ya watu wasio na makazi nchini Marekani inazidi kuongezeka huku serikali ya nchi hiyo ikiendelea kutoa misaada ya silaha na zana za kijeshi kwa Israel inayofanya mauaji ya kimbari dhidi ya wakazii wa Ukanda wa Gaza.
-
Maulamaa wa Kiislamu duniani wataka hatua za dharura kusitisha jinai za Israel huko Gaza
Dec 28, 2024 23:22Katibu mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amesema kwamba ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza hauwezi kuvumiliwa na jamii ya kimataifa lazima ichukue hatua haraka ili kuweka mwisho wa mauaji ya kimbari ya Kizayuni katika eneo hilo.
-
Kwa nini chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) inaongezeka nchini Uingereza?
Dec 28, 2024 23:19Takwimu zilizochapishwa hivi karibuni nchini Uingereza zinaonyesha ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu katika nchi hiyo.
-
2024 watajwa kuwa mwaka mbaya zaidi kwa watoto kwenye mizozo duniani katika historia ya UNICEF
Dec 28, 2024 09:18Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limesema, zaidi ya watoto milioni 473, sawa na zaidi ya mtoto mmoja kati ya sita duniani kote anaishi kwenye vita, huku dunia ikigubikwa na mizozo mingi zaidi tangu kumalizika kwa Vita Kuu vya Kwanza vya Dunia.
-
Ulyanov: Nchi za Magharibi zinazuia mazungumzo kati ya Iran na IAEA
Dec 28, 2024 04:00Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yake makuu mjini Vienna amesema mbinu haribifu za nchi za Magharibi ni kikwazo cha maendeleo katika mazungumzo kati ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ili kusuluhisha masuala ambayo bado hayajatatuliwa.
-
BRICS yawa jukwaa la washirika wa kimataifa wa Kusini, nchi 9 mpya zatangaza utayarifu wa kujiunga
Dec 28, 2024 03:57Nchi nyingine 9 zimetangaza utayarifu wao wa kuwa washirika wa jumuiya ya BRICS.
-
Malalamiko ya wananchi wa Pakistan kwa kuendelea ukosefu wa amani Parachinar
Dec 27, 2024 23:11Vyama na makundi ya kidini ya Waislamu wa Kishia yamefanya maandamano katika miji tofauti ya Pakistan ikiwemo ya Islamabad na Karachi kulaani na kulalamikia kuendelea ukosefu wa amani katika mji wa Parachinar na jinai zinazofanywa na magenge ya kigaidi na ya ukufurishaji katika eneo hilo.
-
Mkuu wa Intelijensia Ufaransa adai Ikhwanul-Muslimin ina lengo la kuasisi 'Khilafa' ya Ulaya
Dec 27, 2024 03:23Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Ufaransa amedai kuwa Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin imekuwa ikipanua ushawishi wake nchini humo, na lengo lake kuu ni kuifanya nchi hiyo kuwa sehemu ya Khilafa inayoendeshwa kwa Sharia za Uislamu.