-
Wasiwasi wa Ulaya kuhusu kurejea Trump White House
Nov 09, 2024 08:40Matokeo ya ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani yamegubika hali ya siasa, uchumi na usalama wa Ulaya.
-
Mahakama Kuu ya India yabatilisha hukumu ya kuzifunga Madrasa 17,000 za Waislamu
Nov 09, 2024 03:05Baada ya uhakiki na uchunguzi uliochukua muda wa miezi kadhaa, Mahakama Kuu ya India hatimaye imetoa uamuzi wa kubakishwa Madrasa 17,000 za Waislamu zilizotaka kufungwa katika jimbo kubwa zaidi la nchi hiyo la Uttar Pradesh.
-
Wabunge wa Ireland wataka Israel iwekewe vikwazo
Nov 08, 2024 23:50Wabunge katika Jamhuri ya Ireland kwa kupasishwa hoja katika bunge la nchi hiyo, wameitaka serikali yao kuuwekea vikwazo utawala haramu wa Israel kutokana na mauaji yake dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Waandamanaji Ufaransa wataka kusitishwa tamasha litakalomshirikisha waziri wa Israel
Nov 08, 2024 08:46Waungaji mkono Palestina nchini Ufaransa wametoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kufuta tamasha lililopangwa kufanyika Novemba 13 mjini Paris, ambapo waziri wa fedha wa utawala haramu wa Israel mwenye misimamo mikali, Bezalel Smotrich, anatazamiwa kuhudhuria.
-
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani watoa wito wa kusaidiwa taifa la Palestina
Nov 08, 2024 04:02Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu Duniani umezitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua ya kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Muqawama wa Palestina: Republican au Democratic; Serikali zote za Marekani zinaiunga mkono Israel
Nov 08, 2024 04:02Kamati ya makundi ya mapambano na Muqawama ya Palestina imetoa taarifa kuhusu ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani na kutangaza kuwa, hakuna tofauti baina ya Warepublican na Wademokrat; Kwa sababu serikali zote za Marekani zimekuwa waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni wa Israel na washirika wake katika mauaji dhidi ya taifa la Palestina.
-
Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani
Nov 08, 2024 03:29Hatimaye mchuano mkali uliowaweka watu roho juu, wa kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024 uliofanyika Novemba 5, umemalizika na matokeo yake rasmi yametangazwa.
-
2024 huenda ukawa mwaka wa joto zaidi kuwahi kurekodiwa duniani
Nov 07, 2024 23:05Mwaka huu wa 2024 uko mbioni kuwa mwaka wa joto zaidi kuwahi kutokea duniani. Haya ni kwa mujibu wa shirika la hali ya hewa la Ulaya, Copernicus.
-
Maombi ya zaidi ya nchi 50 za dunia ya kuwekewa vikwazo vya silaha utawala wa Kizayuni
Nov 07, 2024 23:04Kufuatia kuendelea mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na Lebanon, zaidi ya nchi 50 za dunia zimemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Baraza la Usalama na Baraza Kuu la umoja huo wauwekee vikwazo vya silaha utawala huo katili.
-
Serikali ya Ujerumani yasambaratika
Nov 07, 2024 05:58Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz amemfuta kazi waziri wa fedha na hivyo kuisambaratisha serikali ya muungano wa vyama ya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi.