-
Rais wa zamani wa Ireland akosoa undumakuwili wa kimataifa kuhusu jinai za Israel
Oct 05, 2024 08:47Rais wa zamani wa Ireland amekosoa jibu la jamii ya kimataifa kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na Lebanon.
-
Venezuela yahimiza kuundwa 'harakati ya dunia' kukabiliana na ugaidi, unyama wa Israel
Oct 05, 2024 08:31Serikali ya Venezuela imesisitiza ulazima wa kuungana mkono baina ya Iran na mataifa ya Kiarabu Asia Magharibi ili kuanzisha "harakati ya dunia" dhidi ya uhalifu na vitendo vya ugaidi vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umuhimu wa kuwepo umoja na ushirikiano wa Ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na muendelezo wa vita vya utawala wa Kizayuni
Oct 05, 2024 07:04Uchokozi na vita vya utawala haramu wa Israel katika eneo vimeongeza maradufu, jambo linalotoa udharura wa kuwepo umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.
-
Gazeti la Marekani lathibitisha makombora ya Iran yaliharibu vituo vya kijeshi vya 'Israel'
Oct 05, 2024 04:56Gazeti la Washington Post limethibitisha kuwa vituo kadhaa vya kijeshi na vya "usalama" vya utawala wa Israel viliharibiwa vibaya na makombora yaliyorushwa na Iran wakati wa operesheni ya kulipiza kisasi hivi karibuni.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Tutatumia silaha za nyuklia ikiwa tutashambuliwa na Korea na Marekani
Oct 04, 2024 22:56Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema vikosi vya jeshi la nchi yake vitatumia silaha za nyuklia "bila kusita" iwapo nchi yake itashambuliwa na Korea Kusini na mshirika wake, Marekani.
-
Madaktari 99 wa US waliohudumu Ghaza: Hakuna ushahidi kama HAMAS imezitumia kijeshi Hospitali
Oct 04, 2024 06:10Kundi la madaktari 99 wa Kimarekani na wataalamu wa tiba waliojitolea kufanya kazi katika eneo lililozingirwa la Ukanda wa Ghaza wamesema hawakuona dalili zozote za kuwepo harakati za kijeshi zinazofanywa na kundi la Muqawama la Hamas katika hospitali za eneo hilo, na wameutaka utawala wa Joe Biden usitishe mara moja misaada na uungaji mkono wa kijeshi, kiuchumi na kidiplomasia kwa Israel.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Israel imekiuka sheria za kimataifa katika shambulio la Beirut lililoua watu 7
Oct 04, 2024 06:09Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) Josep Borrell amelaani shambulizi lililofanywa na Israel katika mji mkuu wa Lebanon Beirut lililoua watu saba na kulielezea kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN na makabiliano ya mitazamo kuhusu matukio ya eneo la Asia Magharibi
Oct 03, 2024 07:46Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kujadili matukio ya Asia Magharibi kufuatia shambulio la makombora lililofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kujibu jinai za Israel kimeambatana na matamshi ya kifidhuli yaliyotolewa na mwakilishi wa utawala huo wa Kizayuni ukiungwa mkono na nchi za Magharibi.
-
EU yamtetea katibu Mkuu wa UN, yaponda madai ya Israel
Oct 03, 2024 05:44Mkuu wa Siasa za Kigeni za Umoja wa Ulaya ameeleza masikitiko yake kutokana na tuhuma zilizotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kusema kuwa Umoja wa Ulaya unaunga mkono juhudi za Antonio Guterres za kuimarisha amani.
-
Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ni ushahidi wa mauaji ya kimbari ya Israel
Sep 29, 2024 22:55Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza (IHRC) amesema kuwa, jinai za kivita za hivi karibuni za utawala ghasibu wa Israel katika mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kuuawa mamia ya watu katika shambulio la Beirut ni ushahidi wa wazi wa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni.